John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

Wewe ni Lucas msambwanda wa chadema. Uchawa Tanzania ni janga kubwa Sana na mlaniwe machawa kama nyie kwa maana mnasababisha taifa kuwa na viongozi vihiyo kwasababu ya kuwapa sifa ambazo hawana.
 
Halima Mdee pia
 
Kosa lake kuu ni kusaini barua ya kina Mdee na baadae kukana kuwa sio yeye
 
Kosa lake kuu ni kusaini barua ya kina Mdee na baadae kukana kuwa sio yeye
Unavyoijua ccm ilivyo na roho mbaya na kuitafutia chadema anguko kwa namna yoyote je wasingeitumia hiyo kama silaha? Ndio yaleyale ya kusema mbowe alimuua chacha wangwe na mbowe alimpiga lissu risasi.....!!!!! Mkiambiwa mlete ushahidi ushahidi na kwakuwa dola ipo chini yenu mkawashtaki hamtaki.
 
Ofisi yoyote haipaswi kuonyesha nyaraka yoyote ya kiofisi kwa yeyote, hao NEC wamuonyeshe Mnyika barua ya kutoka Chadema kama nani?.
Mkuu, unaposemwa haipaswi, ni kama KATAZO vile. Kuna sheria inayounga mkono hoja yako hii? Unamaanisha kuwa NEC wangeonesha barua hiyo wangekuwa na kosa kisheria kwa kuwa hawapaswi kuonesha nyaraka yoyote ya kiofisi kama ulivyosema?
 
Porojo kama kawaida yako
 
Hiyo no.1 hebu ifute hili chezo lote lilianzia kwa magufuli ni kama shambulio la lisu polisi walivyolitupilia mbali huku wakijua ni wajibu wao kufwatilia attempt ile. Kiufupi ccm ni magaidi ya katiba ya mama Tanzania.
 
Hakuunga juhudi ila alimkubali Lowassa aliyenangwa na Chadema ni fisadi na anayestahili kuwa jela! Ahahahahaha! Politics bwana!!!!
 
Kwahiyo Mnyika aliunga mkono juhud ndani ya chama nyie mkaenda nje kuunga mkono juhud za magu ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuunga juhudi ila alimkubali Lowassa aliyenangwa na Chadema ni fisadi na anayestahili kuwa jela! Ahahahahaha! Politics bwana!!!!
Amekiri Jana kuwa hakumkubali Lowassa kuja ndani ya cdm, Bali ilikuwa mambo ya wengi wape. Au unadhani Kila aliyeko cdm alikubaliana na uhuni ule? Wakati mwingine unaweza kuvumilia kwa hali ya taasisi hata kama hukubaliani na baadhi ya mambo. Kwakuwa huko ccm mnakubaliana na Kila uchafu wa mwenyekiti, basi unadhini ni Kila mtu?
 
Maxence Melo mtamuharibu soon maana mshamchukua kama nyie ni chama makini fanyeni scouting na incubation humohumo kwenye mapooza yenu ya uvccm.
Sidhani,Maxence Melo ni mtu very bold na hawezi nunulika kwa CCM ama kisa kuingizwa kwenye ujumbe,kashinda majaribu mengi na anajua umuhimu wa anachokipiginania na kukisimamia,sio mtu wa price tag
 
Mnyika ni magufuli 245, Vikwete 195, Samia 921, mkapa 13, mwinyi 543 na nusu nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…