Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ukishakua ccm huwezi tena kutumia akili zako.wako wengi tu wana mawazo mazuri ila uko waliko mfumo umewafanya wamekua ovyo.Mimi nalia na watu wenye akili kubwa sana (Mnyika,Lissu) kutotumika kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.
Hivi Mh. Rais akiamua kumuita Mnyika na wakawa na mazungumzo ya ana kwa ana kwa kirefu juu ya mustakabali wa Tanzania njema, atapungukiwa na nini zaidi ya kupata namna ya kuipigisha hatua mbele nchi yetu pendwa!!??
Mimi naamini katika kumpa mtu nafasi ya kumsikiliza kisha mimi kwa kuwa ndiye mwenye uamuzi wa mwisho,nitaamua kuchukua na kufanyia kazi maneno yake ama laa,maana silazimishwi kufuata ushauri wa yeyote yule.
Kuna faida kubwa katika kusikiliza mitazamo ya watu tofauti hata wale wasio upande wetu.
Ni dhambi kutotumia "fully" vipawa, akili, werevu, busara na uwezo wa wananchi wetu, lakini ni ni dhambi kubwa na laana kubwa sana kutowapa hata nafasi ya kuwasikiliza hoja zao.
Wakati mwingine kuwa objective katika mambo ni tatizo kwa sababu we are always surrounded by many trappings. Mfano, mtu usiyemtakia mafanikio hata akifanikiwa utaona hajafakiwa kama ambavyo wewe ungetaka. Na wengi wetu tunabaki katika level hii ya judgement. We have no good judgement on many things ana we are not ethical as well. So, our way of looking at things is often negative and we hardly affirm the good we see in other people. Ingawa binafsi napenda criticisms kwa sababu zimenisaidia sana ku'improve' katika maisha yangu binafsi, siyo watu wote wanaopenda kuwa criticised. Nilipoanza maisha nilikuwa sina vitu vingi sana na kwa nature ya kazi yangu, niliona niwe na mimi jioni naenda viti virefu kidogo. Mara habari hizo zikatoka. "Ha, mtu mwenye hana ABC, halafu karibu kila jioni utamuona akiwa amekalia kiti kirefu." Mfanyakazi wa ndani aliamua kumwaga mboga. Nilivyosikia nilikasirika sana, nitakataka kumfukuza kwa "kutoa siri nje". Lakini katika kujitafakari nikafikiri amenisaidia kwa sababu amesema vitu ambavyo sina. Nilichofanya nilichukua notebook yangu na kuorodhesha hivyo vitu ambavyo vilitupwa mtaani hata nikawa gumzo mtaani. Nilipomaliza, nikanyamaza. Kila nikipata fedha nanunua kitu kimojawapo na thank God baada ya muda fulani nikawa nime'exhaust' orodha yote na nikaendelea kunyamaza bila kusema kitu. Siku nilipohama eneo lile, likaje gari moja hivi, dereza alivyoona vitu akanishauri kwamba gari lake ni dogo sana, nitafute kubwa. Likaje kubwa, vitu vikapakiwa hata kulazimisha vienee. Wale waliokuwa wakinicheka baadaye nilisikia habari habari zao wakisema: "kumbe yule jamaa alikuwa na akili sana. Watu walimcheka, lakini yeye alijua alichokuwa akikifanya. Alikuwa na vitu vingi sana, hata vile walivyosema hana alikuwa navyo." Hili limebaki kuwa somo kwangu. Watu wakisema kitu fulani negative kinachokuhusu "note it down". Tafakari kama walichosema ni kweli au la. Kama ni kweli kifanyie kazi bila kujitangaza ili watu wenyewe ndiyo waanze kukutangaza wenyewe (wakati huo wewe kimya). This is how we should behave. Wanasiasa wetu hawataki kukosolewa, sisi wenyewe hatutaki kukosolewa, viongozi wetu hawataki kukosolewa, kinachofuata nini? Ni sifa za uwongo/flattery na kwa bahati mbaya wanasiasa wanapenda flattery, sisi tunapenda flattery na viongozi wetu wanapenda flattery. Therefore, flattery everywhere!Ndugu yangu othuman dan fodio , una uhakika Chadema walitoa taarifa ya jinai?, walilalamikia wapi?, jinai inaripotiwa wapi?.
Naomba nikuhakikishie Chadema hawakutoa taarifa yoyote kuhusu jinai hii popote!. Na hii sio mara ya kwanza kwa Chadema, hata hapa niliuliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Taarifa zozote za jinai zinaripotiwa polisi!.
P
Angefanya Nini wakati vyombo vya kudhibitisha uchafu wake viko mifukoni kwa wachafu?Ahahahahaha! Kwahiyo kuwavumilia hata wachafu kupo sio? Ahahahahaha!!!
Polisi hii hii inayotumika kuwabambikia kesi wapinzani?Ndugu yangu othuman dan fodio , una uhakika Chadema walitoa taarifa ya jinai?, walilalamikia wapi?, jinai inaripotiwa wapi?.
Naomba nikuhakikishie Chadema hawakutoa taarifa yoyote kuhusu jinai hii popote!. Na hii sio mara ya kwanza kwa Chadema, hata hapa niliuliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Taarifa zozote za jinai zinaripotiwa polisi!.
P
Mnyika na Lissu ndio mfano wa genius. Sio kinq Nape na Mwigulu wanajua kupayuka tu
Thibitisha (justify your claim).Lissu ni msaliti wa taifa hafai kuitwa genius
Kwani giniaz ni nini?Lissu ni msaliti wa taifa hafai kuitwa genius
Pamoja namiheshimu mnyika JJ ,maguguli hakuwa mlevi wa madaraka alisimamia maandishi yaliyomo kwenye katibaMnyika alikuwa Bora muda wote, tena alipoa baada ya blunder ya kupokelewa kwa Lowassa ndani ya cdm. Nakumbuka Mnyika alikuwa anaweza kushikilia hoja yake ndani ya bunge Hadi apate majibu sahihi toka serekalini. Sikuwahi kuona mbunge shupavu na anayejua wajibu wake wake kama yeye wakati akiwa bungeni.
Hata dhalimu magu alikuwa anamkubali sana Mnyika, ila kwa bahati mbaya Mnyika hakuwa muumini wa viongozi walevi wa madaraka, ndio maana hakwenda kuunga mkono juhudi enzi za siasa chafu za yule kiongozi muovu.
Nikweli, kwanza nimejigundua mimi ni kritiki, na sometimes judgemental, hivyo nikajikuta nimejenga tendency ya kuwa fault finder, hata likifanyika zuri, nalitafutia ubaya na ukikosa ubaya wowote wa kukosoa then unanyamaza!.Wakati mwingine kuwa objective katika mambo ni tatizo kwa sababu we are always surrounded by many trappings. Mfano, mtu usiyemtakia mafanikio hata akifanikiwa utaona hajafakiwa kama ambavyo wewe ungetaka. Na wengi wetu tunabaki katika level hii ya judgement. We have no good judgement on many things ana we are not ethical as well. So, our way of looking at things is often negative and we hardly affirm the good we see in other people. Ingawa binafsi napenda criticisms kwa sababu zimenisaidia sana ku'improve' katika maisha yangu binafsi, siyo watu wote wanaopenda kuwa criticised.
This is how we should behave. Wanasiasa wetu hawataki kukosolewa, sisi wenyewe hatutaki kukosolewa, viongozi wetu hawataki kukosolewa, kinachofuata nini? Ni sifa za uwongo/flattery na kwa bahati mbaya wanasiasa wanapenda flattery, sisi tunapenda flattery na viongozi wetu wanapenda flattery. Therefore, flattery everywhere!
Nakazia hapo kwa kiongozi muovu jiwe.Hata dhalimu magu alikuwa anamkubali sana Mnyika, ila kwa bahati mbaya Mnyika hakuwa muumini wa viongozi walevi wa madaraka, ndio maana hakwenda kuunga mkono juhudi enzi za siasa chafu za yule kiongozi muovu.
Mnyika ana akili na vipaji vya kuzaliwaKatika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki.
Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila kuzua mjadala kuhusu uhalali wa majibu yako. Hakuna majibu yakupika
Lakini eneo la pili anaonekana wazi siyo mwanasiasa bali ni binadamu mwenye uwezo na ufahamu sahihi kuhusu mahitaji ya Dunia kabla,sasa na baadaye. Anatambua wazi kwamba CHADEMA siyo nchi bali ni chama cha siasa kilichoundwa kukidhi matakwa ya mfumo wa kisiasa na kwamba kupitia taasisi hii upo uwezekano mkubwa wa binadamu waliopo ndani kupishana kimtazamo.
Mfano mzuri ni pale alipokiri kwamba yeye binafsi alikataa kumpokea Lowasa, lakini mwisho akaona kiu ya kisiasa ya kuiondoa CCM madarakani iliyokuwa ndani ya watu walio wengi na hapo ndipo alikubali kuendelea kutokukubaliana na msimamo wa chama kuhusu aina ya mgombea wao lakini akaamua kuunga mkono maono ya wananchi ya kuiondoa CCM madarakani.
Tafsiri kubwa hapa anatuambia si chadema wala CCM wanaoweza kuitoa nchi hapa ilipokwama isipokuwa watanzania kuamua kuunda mfumo wa kikatiba unaotoa haki na unaosimamia nidhamu ya kisiasa na serikali. Incase tukipata mfumo sahihi wa kikatiba may be tunaweza kufuata mfumo wa Kenya ambapo ikifika uchaguzi zinaundwa pande mbili let say UPANDE YANGA NA UPANDE WA SIMBA AU NG'OMBE NA MBUZI AU KUSHOTO NA KULIA THEN MNAUZA SERA WANANCHI WANACHAGUA.
Maono ya Mnyika yanatufumbua macho kwamba tuache imani kwa chama tubaki na imani ya nchi. Kenya wanapiga hatua kwa sababu hakuna akili zinazosubiri kuwa chawa zipewe nafasi....kila nafasi inamgumo wa ushindani.
Lakini jambo la mwisho kuhusu John Mnyika ni uwezo wake wakusimama kama Katibu mkuu na chama kubaki imara kipindi cha JPM. Kusimama imara kutetea chama dhidi ya waovu wa tume ya uchaguzi ambao walifikia hatua yakughushi nyaraka na kuzipeleka Bungeni.......Mnyika amesema wazi kwamba Tume ya Uchaguzi haijawahi kuonyesha popote barua yakuwapitsha akina Mdee iliyodaiwa kutolewa na Chadema. Maana yake anakiri kwamba pamoja na mawimbi mazito alisimama kama katibu mkuu na itoshe kusema kwamba huyu ndiye katibu mkuu bora kuwahi kutokea baada ya Mzee Kinana na Dr. Slaa. Katika mazingira ya kawaida, Mbowe alifahamu msimamo wa Mnyika dhidi ya Lowasa lakini alidiriki kumpendekeza kuwa katibu mkuu jambo ambalo siyo dogo. Uvumilivu wake ungekuwa mdogo angeungana na Slaa na matokeo yake angekuwa ameshapoteza dira kisiasa au ni DC kama walivyo akina Nassary, Mashinji nk
Natamani atunukiwe nishani ya utumishi uliotukuka
Kwani alisema katiba kuruhusu rais kuwa dictator alisema kama sifa au udhaifu wa hiyo katiba? Sisi wengine sio waumini wa katiba hii, hivyo ni haki yetu kuwapinga wanaotumia udhaifi wa katiba hii kuleta ulevi wa madaraka.Pamoja namiheshimu mnyika JJ ,maguguli hakuwa mlevi wa madaraka alisimamia maandishi yaliyomo kwenye katiba
Rejea kauli ya nyererere katiba ilimruhusu na mpaka leo inaruhusu rais kuwa dictator
Maguguli ashukuliwe kwa kutokuwa mwongo na janja janja kama alivotuhadaa Jakaya kikwete
Kuna Fr fulani anaitwa Anthony de Mello (alishafariki). Kuna vitabu ameandika vina hadithi fupifupi kama paragraph moja hivi, lakini kuna mafundisho makubwa. Kuhusu judgement anasema we can judge people according to memory (what we remember about them) or according to reality (what they are now). Hivyo, wakati mwingine hata kama mtu amebadilika bado tendency ya 'memory judgement' inabaki. Ni kama mtu akiniambia alishavuta bangi kila nikikutana naye nafikiri "huenda huyu bwana ameshaanza kuvuta tena". Kwa hiyo, akisema kitu nisichokubaliana naye naweza hata baadaye kusema "nilikutana na mvuta bangi mmoja kaniambia ABC" - judging people according to memory. Wengi wetu tupo kundi hili.Nikweli, kwanza nimejigundua mimi ni kritiki, na sometimes judgemental, hivyo nikajikuta nimejenga tendency ya kuwa fault finder, hata likifanyika zuri, nalitafutia ubaya na ukikosa ubaya wowote wa kukosoa then unanyamaza!.
Hivyo JPM tulimpiga spana za kutosha tuu na jina la Magufuli ni dikiteta nililianzisha mimi Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! baada ya critics kuzidi, ndipo nikaja kujigundua inawezekana kabisa kauli huumba, hivyo ni hizi kauli zetu za kumuita Magufuli dikiteta zimemuumbia udikiteta, Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii?
Nikaanza kushauri to change attitudes tusi concentrate on his negatives only, tuangazie his positives as well, Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. baadaye Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze! nikamnote Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana! hivyo nikashauri Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe na Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa! amini usiamini ule udikiteta alioanza nao, ukayeyuka akaja kuwa a very humble man "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!, akaanza kutembea na mabulungutu ya fedha na kugawa kwa wahitaji, hadi by the time anatwaliwa he was a saint na ameenda straight to heaven Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
I did the same to Chadema na CCM ile 2010 CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! CCM changed, Chadema never change!, hivyo spana zinaendelea!.
P
Kwhiyo baada ya hixo A za form 6 akakomea hapo kielimu nakuwa chadema auMnyika ni genius. Nasikia alisomea Seminary na masomo yote ya Form six alipata A zote. Ukoo wao ni genius. Baba yake ni Msukuma alikuwa genius na hata Baba yake mdogo Prof. Batibo ni genius. Uelewa wa Mnyika na kupambanua hoja ni mkubwa sana.
Kwa niniHana sifa za kielimu
Msaliti wa Taifa kashaendazakeLissu ni msaliti wa taifa hafai kuitwa genius