John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

Mtu anakuhukumu kwa kile ulichofanya, sio unachoweza kufanya. Ukifanya unachoweza inakuwa ni surprise kwake.
Kuna huu mfano ingawa siyo mzuri sana. Miaka ya huko nyuma nilikuwa Malawi kwa 'placement' ya miaka 2 kabla ya kuendelea na masomo yangu.

Tulienda kwenye language centre mwezi mmoja. Katika darasa letu kulikuwa dada mmoja kutoka Uganda (yeye alinitangulia kufika kule) ndiye alikuwa anakuwa wa kwanza darasani kwetu (darasa la lugha ya Chichewa) na wa pili nilikuwa mimi.

Tangu mwanzo hadi kumaliza ilikuwa hivyo. Darasa letu lilikuwa na watu kutoka mataifa mbalimbali: Afrika, Ulaya, Amerika na Asia.

Sasa pamoja na kwamba mimi nilikuwa nashika nafasi ya pili darasani, njemba mmoja kutoka Nigeria (unajua watu kutoka West Africa wanajiamini sana) akawa anakuwa kwamba ananifundisha Chichewa, wakati darasani nilikuwa namwacha mbali sana.

Mwanzoni (kama kawaida yangu nilumvumilia), lakini siku ya siku nikampa live. Nikamwambia: "You are just wasting your time to teach me Chichewa.

How is your performance in class since we started? Are you the first or perhaps the second, or the 20th or above etc?" Kuanzia hapo akashika adabu. Kwa hiyo, kuna watu wanajifanya wao tu ndio wanaojua kila kitu etc. Bure kabisa!
 
Unatuuliza sie siuende Ufipa au nyumbani kwake ukaonane nae umuulize. Usitutafute undani chawa weye!
 
M
Umemtendea HAKI MNYIKA....huyu Bwana ni GIFTED..... Never take him easy.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…