Chadema itawabana hadi wacheue , hatutawaachia hata upenyoCCM na serikali yake ni wajinga na wapumbavu wakubwa.
Wanaogopa hadi makabrasha ya upinzani?
Wanaogopa maoni ya watu?
Inasikitisha kwa kweli...Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake...
Mwisho wa ccm umefika rasmiViongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano .
Viongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.
Haufiki bila Chadema kuwa wakali. Tupo mahali TEC na viongozi wa Kilutheli wanakuwa tishio kwa CCM kuliko Chadema. Siyo sawa.Mwisho wa ccm umefika rasmi
Haufiki bila Chadema kuwa wakali. Tupo mahali TEC na viongozi wa Kilutheli wanakuwa tishio kwa CCM kuliko Chadema. Siyo sawa.
Siasa ni hoja pale play field inapokuwa fair. Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi...CCM ndio wamewashindwa Chadema.
..Hawana uwezo wa kushindana nao kwa hoja.
..siasa ni hoja vs hoja. Na CCM uwezo hawana.
Hivi yote haya Kwa faida ya nani? Kwakweli watanzania tuwe serious, Katiba na uchaguzi huru ni Kwa faida ya nchi...Hawa watu wachache kwanini wanaturudisha kwenye ukoloni ambao tulishauacha?..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
Ni tishio kubwa sana. Uzuri hawapo kwenye sanduku la kura...hao hawajawa tishio.
..wangekuwa tishio maoni yao yangezuiliwa kama ya Chadema.
Siasa ni hoja pale play field inapokuwa fair. Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi.
Maneno Kuntu !..hao hawajawa tishio.
..wangekuwa tishio maoni yao yangezuiliwa kama ya Chadema.
CCM ipo na itaendelea kuwepo madarakani. Ila mwisho wa upinzani wa kuvizia matukio kama CHADEMA wafanyavyo ndio umewadia tayari maana wananchi wameshawatambua kuwa ni wababaishaji na wasaka tonge tu.Mwisho wa ccm umefika rasmi
Hata sijui ni kujibu nini...kitakachowaingiza watz barabarani ni hali ngumu ya maisha na uchumi. si unaona kidogokidogo wanavyoibuka panya road.
Siasa ni hoja pale play field inapokuwa fair. Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi.