Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Viongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.
Wakiitisha maandamano utatokea?
 
CCM ipo na itaendelea kuwepo madarakani. Ila mwisho wa upinzani wa kuvizia matukio kama CHADEMA wafanyavyo ndio umewadia tayari maana wananchi wameshawatambua kuwa ni wababaishaji na wasaka tonge tu.
Wengi wanaolekea mwisho huwa hawajijui , wanajikuta tu washafika ukingoni , ni bahati mbaya sana kwamba uchawa wako umekuwa wa kipindi kifupi sana !
 
..fuatilia mkutano wowote ule ambao CCM, Serikali, na Chadema, wanahudhuria.

..halafu angalia anaposimama mchangiaji wa Chadema hali inakuwaje ukumbuni.

..serikali na CCM huwa wanaandaa watu wa kuhakikisha Chadema hawachangii na kuwasilisha maoni yao kwa uhuru.

..angalia video hizo mbili hapo chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=hM7E_cVAp6Q

View: https://www.youtube.com/watch?v=ZhpccaEuUcY

Hili lipo wazi muda wa kulalamika umepita. Watanzania wanajua Chadema wanaonewa. Tunahitaji kujua hatua mnazochukua kudai haki zenu na KUSHINDA. naomba nirudie na NAKUSHINDA.
 
Siasa ni hoja pale play field inapokuwa fair. Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi.
Nenda uingie wewe barabarani siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.

Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajeficha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
 
Nenda uingie wewe barabara siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.

Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajificha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Sawa nimekusikia lakini hoja zako uwa ni kelele hazina mashiko ruksa kuendelea kupiga kelele.
 
Wengi wanaolekea mwisho huwa hawajijui , wanajikuta tu washafika ukingoni , ni bahati mbaya sana kwamba uchawa wako umekuwa wa kipindi kifupi sana !
Ninyi ndio mpo mwishoni katika kuelekea shimoni na ndio maana chama Chenu kimekosa ushawishi kwa watanzania. Ukitaka ujuwe na ufahamu kuwa hamna ushawishi wala uungwaji mkono kwa watanzania ni kule kugomewa kwenu kuungwa mkono pale mnapoitisha maandamano ya aina yoyote ile. Ninyi hata viongozi wenu wote wa kamati kuu watupwe ndani hakuna mtanzania anayeweza kuandamana kushinikiza kutolewa kwa viongozi wenu.hii ni kwa kuwa viongozi wenu hawaaminiki mbele za watanzania.

Kwa akili yako unafikiri ni mtanzania yupi mwenye akili Timamu anayeweza kuwaamini ninyi CHADEMA mliomtukana Mheshimiwa Lowassa kwa miaka nane mfululizo na kumpa kila jina baya halafu ilipofika 2015 mkasema ni msafi sana na mmebadili gia angani na kuanza kumdekia hadi barabarani anamopita? Ni nani atawaamini? Ni nani atawaunga mkono na kuwasikiliza makelele yenu mnayopiga kama mayowe?
 
Nenda uingie wewe barabara siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.

Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajificha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Una hoja zilizojaa umasikini mtupu ! Hasara waliyoipata Wazazi wako haiwezi kufidiwa
 
Waoga sana hiki chama dola kongwe cha CCM, hoja sahihi kwa ajili ya haki, uhuru wa watu na maendeleo ya umma wanazihofia.
 
Hatutakubaliana na huo ujinga , safari hii hawachomoki , Wallah Wabhillah !
Acha porojo wewe.huna lolote lile la kutishia na huwezi kufanya caha Chochote kile.ujasiri wako ni katika kijifaragua kwa fake ID na kwenda kujificha uvunguni yakiitishwa maandamano. Kwanini hukuandamana alipowaambia Lissu muandamane 2020 huku yeye akiwa kajikunyata kama kuku wa kideli ubalozini? Mara ngapi mmetoa vitisho? Mmetekeleza mangapi?
 
Waoga sana hiki chama dola kongwe cha CCM, hoja sahihi kwa ajili ya haki, uhuru wa watu na maendeleo ya umma wanazihofia.
Safari hii tutawabana kisawasawa , nakuhakikishia kwamba hawatopumua , Liwalo na Liwe !
 
Nenda uingie wewe barabara siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.

Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajificha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Hauna hoja wewe umeishia kupiga makelele tu hapa jukwaani
 
wanaandaa watu
CCM huandaa chawa, vikaragosi, maruhani na mamluki kwa wingi, kunyima umma kupata elimu sahihi ya uraia na historia ya uporaji mchakato mzima wa uchaguzi 2020 ulivyofanywa ambao ndiyo umeuwezesha awamu ya 6 chini ya Rais Samia Hassan kuwepo madarakani.
 
Acha porojo wewe.huna lolote lile la kutishia na huwezi kufanya caha Chochote kile.ujasiri wako ni katika kijifaragua kwa fake ID na kwenda kujificha uvunguni yakiitishwa maandamano. Kwanini hukuandamana alipowaambia Lissu muandamane 2020 huku yeye akiwa kajikunyata kama kuku wa kideli ubalozini? Mara ngapi mmetoa vitisho? Mmetekeleza mangapi?
Kila siku siyo Jumapili .

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom