1. Hili linajulikana na ndiyo maana jitihada zote zilipaswa kuwekwa kwenye kuunganisha nguvu zote kwenye kupigania katiba mpya.
2. Ajabu na kweli dhana ya umoja ni nguvu haipo tena.
3. Hata tunasahau mafanikio ya 2015, ilikuwa ni kwa hisani ya UKAWA.