Habari wana JF,
Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo CDM kwa kazi maalum.
Kwamba kuna mambo tunayaona lakini chini kwa chini anatekeleza anayoagizwa.
Sasa leo nimeikumbuka stori hii, hasa kwa jinsi swala la viti maalumu lilivyofanyika.
Mimi binafsi nina uhakika 100% kuwa Mnyika ndio kapeleka majina ya wale kinamama. Na anajua kila kitu kinachoendelea. Kule mtandaoni anakojifanya kuhamaki ni danganya toto tu.
Hata leo wakizungumza na wanahabari atasema tu sijui kughushiwa sijui nini, ila uhalisia anajua anachofanya. Mbowe nae anajua na ni mjasiriamali
Tukushukuru Mnyika kwa kusimamia maelekezo ya kitengo-ccm.