Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Habari wana JF,

Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo CDM kwa kazi maalum.

Kwamba kuna mambo tunayaona lakini chini kwa chini anatekeleza anayoagizwa.

Sasa leo nimeikumbuka stori hii, hasa kwa jinsi swala la viti maalumu lilivyofanyika.
Mimi binafsi nina uhakika 100% kuwa Mnyika ndio kapeleka majina ya wale kinamama. Na anajua kila kitu kinachoendelea. Kule mtandaoni anakojifanya kuhamaki ni danganya toto tu.

Hata leo wakizungumza na wanahabari atasema tu sijui kughushiwa sijui nini, ila uhalisia anajua anachofanya. Mbowe nae anajua na ni mjasiriamali

Tukushukuru Mnyika kwa kusimamia maelekezo ya kitengo-ccm.
 
Duh...!, wajameni hata kama ni kutunga uongo, jaribuni basi, angalau uongo huo ufananie fananie na ukweli!, Jee wakiingia watu wa kitengo humu na kukutajia ndani ya CC ya Chadema nani ni nani!, kutakalika?.
Acheni hizo!.

P
JJM ni mtu smart sana, ndio maana wengi hawaamini. Anaifanya kazi kwa umakini mkubwa
 
Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Ninachoshukuru ni kwamba Tundu Lissu anawajua wengi, na ana option B. Binafsi hata Mbowe auze chama sitashtuka, nitashtuka labda Tundu akihama chama. Huyo tu ndo nguli aliyebaki
 
Duh...!, wajameni hata kama ni kutunga uongo, jaribuni basi, angalau uongo huo ufananie fananie na ukweli!, Jee wakiingia watu wa kitengo humu na kukutajia ndani ya CC ya Chadema nani ni nani!, kutakalika?.
Acheni hizo!.

P
Mzee Tutaona Mengi...
tutasikia mengi...
ila yatapita kama ya lowassa
 
Habari wana JF,

Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo CDM kwa kazi maalum...
Nyie huwa hamsikii hadi damu iwatoke masikioni!
 
Kweli wewe sio mfanyabiashara
Unafikiri angekuwa anaingiza tu 3m kirahisi
Kila biadhara inataka uzoefu...
Acha ubishi mkuu ,sizungumzii marekebisho,nazungumzia mapato yatokanayo na uwekezaji wa nyumba 15.

-Maintanance ya nyumba haziepukiki hata usipopangisha....Watu wanawekeza kwenye biashara ya miti wakitarajia kuja kuvuna baada ya miaka 15 hadi 20 ,so kwenye uwekezaji hakuna shida, Bakhresa ameanza biashara mwaka 1975 kutembeza ice cream na kirikuuu cha miaka hiyo na mpaka sasa miaka 45 bado anaendelea...Kwahiyo hoja ya kurudisha mtaji sio issue ,TANZANIA tumenunua DreamLiner kwa zaidi ya bilioni 450 ambapo return yake ni baada ya miaka 70.
 
Wewe unaongelea hypotheticals wakati hapa kuna real problem!

Hizi ange... ange... ange... zako zinamsaidia vipi Halima kwa hali yake ya sasa?
Tatizo Halima aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15 kuendekeza NJAA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…