OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
hili limeisha,waliopanga wamejipanga mpaka mwisho. hata wakifukuzwa spika atapuuza.SPIKA na genge lake hawashindwi kitu, kama walimuapisha Mwambe ndio washindwe kuvunja KATIBA ?