OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #61
hili limeisha,waliopanga wamejipanga mpaka mwisho. hata wakifukuzwa spika atapuuza.SPIKA na genge lake hawashindwi kitu, kama walimuapisha Mwambe ndio washindwe kuvunja KATIBA ?
Kama namuona huyo marry saruungi anavyohahah na kesi yake ya ICCMataga bwana kwani hao wanawake wakiingia bungeni ndio kesi ya ICC haitafunguliwa??? Akili ndogo....
mwanamke sio mtu wa kumuamini aisee.daahInacho Uma Mwenyekiti Amekaa Kimya Sana Kwenye Ili Swala Sijui Ana Maana Gani Na Niswala Kubwa Na Gumu Lakini Yuko Kmy Au ndio lile Biti alilopigwa Na Mdee Kua Atatoboa Siri Za Ndani so sad
Lissu mshamba Sana.Mbowe, Mnyika, Mdee na wabunge wengine wote lao moja, hapa aliechwa kwenye mataa ni Lissu tu namwonea huruma Sana.
Lissu mshamba sana. Hajui sasa kabisaHahaha hapo ndio huwa namwelewa sana JPM na mbinu zake za siasa zisizoshindwa.... The Honorable is genius wallah
Mropokaji Lissu anaweweseka tu masikini.
He needs prayers
Nyie mnataka Mwenyekiti uwekezaji wake uende bure kwa kuendekeza siasa zisizolipa?Kwa kiasi fulani uko sawa. Hapa ni ruzuku inapiganiwa. Haiwezekani jambo zito kama hili mwenyekiti yupo kimya kuanzia hujuma zinafanyika mpaka zinatimia.
Yaani achana na JPM aiseeHahaha hapo ndio huwa namwelewa sana JPM na mbinu zake za siasa zisizoshindwa.... The Honorable is genius wallah
Mropokaji Lissu anaweweseka tu masikini.
He needs prayers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mdogo wangu? Kwema [emoji41]
Halafu CDM Bora bawacha wanaushirikiano wanaume humu ni keyboard warriors Ila nje ni waoga angalia wanaume waliosaliti wananchi, kulinganisha na wanawake ambao hawakukata tamaaNyinyi mmebakia kutumiwa tu humu mitandaoni kwa kukanusha yasiokanushika. Ww au huyo aliekutuma hamna uchungu na chadema zaid ya Halima Mdee. So ukiona hivyo ujue kina Halima wanabaraka zote za uongozi wa juu, ww na huyo aliekutuma hamuwezi kuzuia maamuzi hayo na mkiona mnakereka hameni chama. Vyama vyenye misimamo tofauti na hii ya chadema ni vingi
Kamanda leo umepoaaaaaaa!Kigogo ni shida!!
sure maisha yasonge mbele, hapa hakuna kitu, upinzani uwe Damuni kama wazanzibar na siyo chama , unaweza umia roho ushindwe kulalahili limeisha,waliopanga wamejipanga mpaka mwisho. hata wakifukuzwa spika atapuuza.
Halmashauri nayo inataka ruzuku toka serikalini.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sababu wamemwaga mboga na Halmashauri imwage ugali
Halmashauri ikae iteue Majina 19 viti maalumu ipelekeTume ya uchaguzi na iseme hatuutambui uteuzi wa Akina mdee
Hata mama yako?mwanamke sio mtu wa kumuamini aisee.daah
Ccm walichafua uchaguzi Sana so magufuli anataka kubalance Mambo chezea wahisani wewe
Watu wamefika hayo maamuzi kwa faida pana ya taifaMkuu relax na iambie akili yako isiamini mtu zaidi ya wewe mwenyewe na Mungu wako. Pamoja na hii taarifa ila kuna kitu kimejificha hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama namuona huyo marry saruungi anavyohahah na kesi yake ya ICC
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ndio nchi inakuwa ya chama kimoja jumla jumlaKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.