Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
katiba si kipaumbele kwa sasa,

huenda tukacheki baada ya uchaguzi mkuu2025
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama kikwete, Magu na Mama sio kipaumbele๐Ÿ˜‚ kitu kizuri Mungu atasafisha njia na kubaliza wale watakao itoa hii nchi mtaona matukio mengine mpaka kieleweke
 
ushirikina unawapenda sana wasio na uelekeo,

wenye Imani thabiti na wenye malengo tunasonga mbele kwa Neema na Baraka za Mungu bila mbambamba yoyote ๐Ÿ’
 
Mungu sio mshirikina ni kwa wale tu wezi tu ndiyo watafikiria hivyo. Mungu endelea kuisaidia hii nchi maana watu bado hawajielewi
 
acheni kung'ang'ana na Imani potofu na ramli kama mnamtegemea Mungu sasa....

kuweni majasiri na wenye Imani thabiti, kwa Mungu hakuna kumbwelambwela kama mlivyo nyie ๐Ÿ’
 
Hongera kwa kumtakia mema, lakini kwa nini usimtabirie Uwaziri Mkuu au hata Urais badala ya udiwani?

Alishakuwa Mbunge na aliimudu sana hiyo nafasi. Labda umshauri Lissu akifanikuwa kuukwaa Urais amteue nafasi ya Uwaziri Mkuu!
 
Kila mtu ana imani yake wewe fuata Mungu wako na sio waachie watu na imani zao.
 
Hongera kwa kumtakia mema, lakini kwa nini usimtabirie Uwaziri Mkuu au hata Urais badala ya udiwani?

Alishakuwa Mbunge na aliimudu sana hiyo nafasi. Labda umshauri Lissu akifanikuwa kuukwaa Urais amteue nafasi ya Uwaziri Mkuu!
hata wewe unaweza kumtabiria na ikatosha, au huna imani?

halafu hiyo ya kusubiria dodo chini ya mnazi ndio ushirikina mbaya zaidi duniani...

uongozi kujipanga na kutafuta kwa bidii sana my friend, kwa ramli hutoboi, utasubiri sana....
 
Kuwa mwangalifu usije kufutwa hapa. Wewe endelea na uchawa wako badala ya kuweka weka maneno kwa Sr Members ambao ni founders
kwahiyo wanafuta watu kazi au? hebu elezea vizuri kwa kina kifupi kwa faida ya wadau gentleman..

kumbuka pia uoga wako ndio umaskini wako, vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ