Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM.
Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana,
Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa umakini sana.
Pia ni watetezi wa wananchi kwa kutunguliza uzalendo mbele fuatilia utatuzi wa migogoro migodini Nyamongo na kwingineko.
Cha kuomba hawa viongozi;
_ Kujiepusha na makando kando wasipunguze uaminifu wao kwa jamii,
_ Jiepusheni kumponda Magufuli mbele ya wananchi, kwa maana wananchi wengi bado wanamkubali sana huyo mwamba refer tukio la ujazaji wa maji bwawa la Nyerere,
_ Wekezeni kwenye makongamano ya akina mama maana hao ndo kwa kiasi kikubwa uenda kupiga kura. Wanawake wengi hawamkubali mama kwa sababu wao ndo wanaenda sokoni kununua maitaji na kuona namna wanavyoshudia bei zimepanda kwenye kila kitu muhimu hasa chakula. Hiyo inasababisha kumlaumu sana