Great thinkers.
Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa.
Zitto kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali.
Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana.
Ukiwa famous unarudi CCM kuchota mabilions kwenda Kula na familia.