The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile hayakufanywa kwa amri na mamlaka ya jeshi la polisi peke yake.
Pattern ya matukio ya jana na ya jana yake, kuanzia namna ksesi ilivyotoka kwenye kuendeshwa na mahakama ya kawaida kwenda kwenye mahakama ya mtandao, inaonyesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, inaonesha kuna ushiriki wa serikali moja kwa moja. Niwaombe watanzania chuki, hasira, uchungu juu ya haya yote ambayo tumetendewa na wananchi wametendewa zielekezwe kwa serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Haiwezekani matukio yakafanyika katika taifa, Rais asiwe anafahamu au kuhusika katika hili jambo lote" - Katibu mkuu CHADEMA, John Mnyika
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025