Pre GE2025 John Mnyika: Siku kama ya leo BAWACHA mlimpa Rais tuzo. Mwanamke mliyemuamini alikuwa mnafiki. Anastahili kuvuliwa ile tuzo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
bawacha wasipandikize chuki kwa mama yetu kipenzi cha wazalendo
 
Labda yupo juu ya mawe
 

Alikuwa mnafiki kweli
 
Dah, nyumbu wapo tabuni aisee...mama Samia kamatia hapo hapo Hadi wajifungulie majiani hawa wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…