LGE2024 John Mnyika: Takwimu alizotoa Waziri Mchengerwa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kura ni za uongo!

LGE2024 John Mnyika: Takwimu alizotoa Waziri Mchengerwa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kura ni za uongo!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
yaaani chama kimepoteza muelekeo chadema imebaki ya kulalamika tu badala ya kuhimiza watu wao wajiandikishe
Wahamasishe watu wajiandikishe kwenye uchaguzi wa kipuuzi? Au unadhani wananchi hawajui kuwa ni chaguzi za kihuni hadi cdm waweze kuwashawishi? Uzuri sasa hivi wananchi wenyewe ndio wamepuuza hizo chaguzi za kihuni, kama mlitarajia watu wataendelea tu kujitojeza kushirika kama wajinga huku mnachezea kura zao, basi mmeukalia.
 
Chadema hamasisheni wanachama wenu wajiandikishe kwa wingi la sivyo yatatokea yale yale ya 2020.

Nimeshuhudia mwamko mkubwa wa wanaccm wakijiandikisha ila nyie mpo tu mmesusa alafu wagombea wenu sasa sijui nani atawapigia kura na hamtaki kujiandikisha.
 
Chadema hamasisheni wanachama wenu wajiandikishe kwa wingi la sivyo yatatokea yale yale ya 2020.

Nimeshuhudia mwamko mkubwa wa wanaccm wakijiandikisha ila nyie mpo tu mmesusa alafu wagombea wenu sasa sijui nani atawapigia kura na hamtaki kujiandikisha.
Yaani cdm wahamasishe watu wakashiriki uchaguzi kiini macho! Kama hao wanaojitokeza kujiandikisha ni wanaccm waliohamasishwa, basi ni kweli ccm huwa inaiba kura. Maana watu ni wachache mno vituoni.
 
Kila siku mnahamasisha watu wenu wasijiandikishe na humu mnasema hamjiandikishi kisha anakuja mtu kulalamika kwamba takwimu za uongo, sasa mpumbavu ni nani? Mshashindwa nje ya uwanja bado uwanjani
CHADEMA
 
Yaani cdm wahamasishe watu wakashiriki uchaguzi kiini macho! Kama hao wanaojitokeza kujiandikisha ni wanaccm waliohamasishwa, basi ni kweli ccm huwa inaiba kura. Maana watu ni wachache mno vituoni.
sasa chadema wanataka waje washinde kwa kupigiwa kura na nani?
 
Waandishi wa habari hawawezi kuachana na habari za kweli, labda watishiwe usalama wao. Hakuna mtu anayejitambua ataweza kuendelea kujitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi. Ujumbe kuwa wananchi wameichoka ccm iko bayana ubaoni.
mnajisumbua tu watu wanajiandikisha na watapiga kura kuichagua ccm siyo chadema wapinzan wa kudumu
 
sasa chadema wanataka waje washinde kwa kupigiwa kura na nani?
Ipatikane tume huru, sio huo uchaguzi unaosimamiwa na kamati za ccm. Inshort ni zoezi lililopoteza uhalali wa umma.
 
Ni wapi umeona Mnyika akihamasisha watu wasijiandikishe? Yeye amesema ukweli kuwa idadi inayosemwa na waziri ni ya uongo. Hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kushiriki hizi chaguzi zisizoaminika.

Huko tunakoelekea ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili nchi kuanza kupata viongozi kwa njia halali.
Swadakta
 
Mnyika Aongelee takwimu za Chadema wamejiandikisha wangapi,asilimia ngapi?

Waandishi wa habari achaneni na press conference za kibwege za Chadema

Mnapoteza muda wenu
Kwani CCM wamejiandikisha wangapi?
Huko kwenu makalani wanauliza chama chako?
 
mnajisumbua tu watu wanajiandikisha na watapiga kura kuichagua ccm siyo chadema wapinzan wa kudumu
Hata sasa ccm ndio iko madarakani na haikuchaguliwa kwa kura bali maagizo ya dhalimu magufuli. Sasa mnataka watu wakajiandikishe ile iweje?
 
yaani chadema sasahivi wanachokifanya wala hakieleweki sasa mnyika ana takwimu zipi yeye atuletee za kwake wenzie wako makini na kazi wanayofanya wanazunguuuka kuangalia yeye kakaaa tu kijiweni anasubiri kuja kubisha takwimu za wanaume huyu naye anatakiwa kwenda milembe dishi litakuwa limeyumba yaaani unaita waandishi wanaacha kazi zao kuja kuwwaambia waziri kasema uongo?unachosha waandishi kwa kuja kuwambia umbea ambao hauna hata maana? manaacha kuhamasisha watu wenu wajiandikishe unakuja kusema hakuna watu sasa nyie mtapigiwa kura na nani kama watu wenu hawajiandikishi wahimizeni wajiandikishe siyo siku ya kuhesabu kura mnasema mmeibiwa maana watu wenu watakuwa hawajajiandikisha na hawata piga kura
Hatushiriki uchaguzi wa kihuni.
 
Nilitegemea kwenye bandiko la kwanza la uzi huu. Nikute takwimu halisi za waliojiandikisha kwa mujibu wa Mnyika wa Chadema. Bahati mbaya, Mnyika ama mleta uzi kazidi kudhibitisha kuwa Mnyika si sahihi kuendelea kuwa Katibu wa Chadema kwa sababu anakidhoofisha Chama hicho.
 
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo.

Mnyika amesema kuwa kauli ya Mchengerwa alidanganya aliposema kuwa kuna mwamko mkubwa wa wananchi katika zoezi la andikishaji na kwamba asilimia 45 ya watu walikuwa wameshajiandikisha kwenye daftari.

Soma pia: Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!

"Mwamko wa wananchi kwenda kujiandikisha ni mdogo. Hata takwimu alizotoa Waziri kwamba watu wameajiandikisha ni asilimia 45 ya watu waliopaswa kujiandikisha ni takwimu uongo. Waziri ametoa takwimu za uongo. Sasa kwa sababu Waziri ametoa takwimu za uongo kwamba mwamko ni mkubwa sana kiasi kwamba nusu ya wananchi wamejiandikisha wameanza kutoa maelekezo huko chini"

Source: Jambo TV

yaani chadema huwa wabishi sana wanapopotosha mambo, hata chairman wao alipotosha umma hivi hivi kwamba anawajua watekeji, anajua watekwaji walipo, akafikia mahali mpka akawahadaa hadi waliopotelewa na ndrugu zao mbele ya waandishi wa habari kana kwamba vyombo vya chadema vitawarejesha 🐒
 
Hatulalamiki bali tunaweka rekodi sawa kuwa hakuna uchaguzi, bali kuna upuuzi kama upuuzi mwingine. Na kelele kuhusu hilo ni endelevu.
addict wa malalamiko inafaa uwe sobar house saivi wewe for rehabilitation 🐒
 
Back
Top Bottom