John Mnyika: Uchambuzi wa awali wa Ripoti ya CAG unaonesha tumepata hasara ya Trilioni 2

John Mnyika: Uchambuzi wa awali wa Ripoti ya CAG unaonesha tumepata hasara ya Trilioni 2

mashoga ya ccm mliletewa tetez lenu ikulu mtaweza kujadir repirt ya CAG, mnachoweza ni ushoga ndio maana samia alipogundua hilo akaona awaletee tetez lenu.
Wabunge, TISS, TAKUKURU, vyama vya siasa na vyombo vya habari kote huko pesa imetembezwa Ili taarifa ya CAG isijadiliwe
 
Mmh! Mkuu ripoti nzima ya CAG inahusu kutofuata utaratibu?

Hebu kuwa serious basi
Siyo kila kitu ni wizi. Kuna utaratibu mfano tulioazima wa world bank wa procurement ni wakijinga sana. Hauna tija kwa taifa. Unakuta CAG anakagua mpaka vitu hivyo matokeo yake anajaza tu page za tuhuma unnecessary
 
"nchi hii tumechezewa sana"

"Nchi hii inatakiwa kuwa Dona kantriiii" kumbe donation za kantriii zilikuwa zinakwenda kwake
 
Mmh! Mkuu ripoti nzima ya CAG inahusu kutofuata utaratibu?

Hebu kuwa serious basi
achana na hayo mapumbavu yanayojadir report ambayo hayaijui inasema nini.
Ndio maana nimesema mara nyingi humu kuwa hayo mashoga ya ccm yanachotakiwa kufanya ni kutekeleza maelekezo ya ushoga yaliyopewa na mtetez wao aliyekuja kutokea marekan swala la report kwa yenyewe ni kina kirefu.
 
Chadema watu wa hovyo sana.

Wanachagua mtu wa kumwajibisha kwakua wameshalambishwa asali.

Hiki chama hakijawahi kuwa chama cha siasa bali wajasiliamali wa siasa.

Yeyote anayewalambisha asali wanamtukuza.
Uko nje ya mada kabisa...!!

Ishu inayojadiliwa hapa ni Je, kwa mujibu wa ripoti ya CAG mwaka wa fedha 2021/2022, kuna wizi na ubadhirifu wa fedha za umma au hakuna..??

Na Je, hizo data za awali za CHADEMA kuwa mpaka sasa (kwa mujibu wao), kwamba wamebaini wizi na ubadhirifu wa zaidi ya TZS 2T ni kweli au siyo kweli?

Kama sio kweli, ukweli wako wewe ni upi..??

Na kama ni kweli,wewe una maoni gani.??

Hizi ndizo hoja zinazojadiliwa. Acha kubweka tu kama mbwa kichaa...!!
 
Chadema watu wa hovyo sana.

Wanachagua mtu wa kumwajibisha kwakua wameshalambishwa asali.

Hiki chama hakijawahi kuwa chama cha siasa bali wajasiliamali wa siasa.

Yeyote anayewalambisha asali wanamtukuza.
chadema sio size yako wewe sukuma gang, unataka chadema ikupambanie wewe mpumbavu kama unaona chadema inabagua watu wa kuwajibishwa nawewe na mamako undeni chama chenu nyumbani kwenu ili kiseme nani awajibishwe.
 
Uko nje ya mada kabisa...!!

Ishu inayojadiliwa hapa ni Je, kwa mujibu wa ripoti ya CAG mwaka wa fedha 2021/2022, kuna wizi na ubadhirifu wa fedha za umma au hakuna..??

Na Je, hizo data za awali za CHADEMA kuwa mpaka sasa (kwa mujibu wao), kwamba wamebaini wizi na ubadhirifu wa zaidi ya TZS 2b ni kweli au siyo kweli?
We we pia upo nje ya mada hapa inajadiliwa Trilioni 2 wewe unaleta hoja ya bilioni 2.

Kaanzishe mada Yako ya Bilioni 2.
 
We we pia upo nje ya mada hapa inajadiliwa Trilioni 2 wewe unaleta hoja ya bilioni 2.

Kaanzishe mada Yako ya Bilioni 2.
Ndiyo ni wizi na ubadhirifu wa TZS 2T.

Wewe unasemaje? Nini maoni yako?
 
akili za mashoga ya ccm ndio maana samia ameona hayana akili bora ayaletee tetez kuu la mashoga ikulu maana ndio kaz mnayoiweza, leo mnajifanya kujadir chadema na story za lumumba kama zile za polepole can you fly to kia, hahahaaaa. Mheshimiwa rais ukipita tena muda yaletee tena haya mashoga yaliyojazana kwenye chama chako tetez lao kutoka kule marekani.
 
Back
Top Bottom