John Mnyika; upo umuhimu waliombwa wimbo wa BERNAD MUKASA unaoitwa NGUVU YA MAZUNGUMZO kabla ya kupigwa kura mkutano mkuu

John Mnyika; upo umuhimu waliombwa wimbo wa BERNAD MUKASA unaoitwa NGUVU YA MAZUNGUMZO kabla ya kupigwa kura mkutano mkuu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Natambua kwamba wapo wagombea wasiotaka kushindwa ndani ya chadema. Wanaweza wakawa upande wa Mbowe na wengine upande wa Kisu.

Ili kuwatakia safari njema nje ya CHADEMA na kuwafanya watafakari vyema kabla yakuanza safari nyingine nje ya CHADEMA nakushauri uitekeleze wajibu wako kwa kumwelekeza MC au DJ apige wimbo BERNARD MUSASA unaoitwa Nguvu ya Mazungumzo.

Ni wimbo wenye mashairi mazuri na unatibu majeraha ya kampeni nakuileta pamoja chadema baada ya uchaguzi. Nimesikitishwa kuona kuona wagombea viti vya mwenyekiti na kambi zao wamekuwa na kigugumizi kukemea wazi fedha zinazotolewa na external elites kununua wagombea. Nimeogopa sana kuona Lisu na Mbowe wamekaa kimya kumkemea aliyemnunua Msigwa badala yake wanamsifia kwamba alichoka kuonewa. Kwa hiyo kuchoka nikijiunga na hasimu wako?
 
Back
Top Bottom