Duuuh hii kali ya leo! Kila mtu basi angekuwa anapata DIV 1.....! unaweza kutoa statistics kwa unachokisema?
Hivi ni kweli?
Does it matter?
Wabongo tatizo letu ndilo hili hili, kuangalia sana paper credentials na superficialities, ndiyo mana watu mpaka leo wanaongelea electability ya Kikwete kwa sababu ni so called "handsome" despite Nyerere kuwapiga shule.
Rais Harry S. Truman wa US hakuwa hata na college degree,lakini aliliongoza taifa lake vizuri, wakati wa vita nevertheless. John Major naye kaenda kuwa PM wa Uingereza bila ya college degree, leo hii mtu usipokuwa na degree naamini unakuwa disqualified, sasa tutawapata wapi kina Evo Morales wetu? Ina maana mtu mwenye enterpreneurial genius kama ya Bill Gates hawezi kuwa rais bongo kwa sababu tu hana degree, kunawengine wanaona degrees/ academics zinawapotezea muda tu, nao wasiwe na eligibility?
Swala muhimu hapa ni track record, Mnyika kafanya nini katika miaka yake ya kazi CHADEMA. Naamini mwenyewe ni member humu anaweza kuja na waraka wa kujibu kuhusu kazi.Vitu hujulikana uzuri wake kwa matokeo ya kazi, sio kwa paper qualifications ambazo mwenyewe ushaanza kuzikandya kwamba papers zinaleak.
Uki dispute/ tarnish matokeo ya form four kwamba paper zinaleak, basi inamaana hata kwa papers za form six paper si kigezo.
Let's focus on kazi, amefanya kazi gani? Haya mambo ya papers papers Tanzania kuna papers bwana? Papers zenyewe hazina standars wala syllabus, akija Mungai anabadili vyake akija Sitta anapangua hivi, kuna papers huko bongo zaidi ya kukomoana tu?
Ndiyo nyie nyie anakuja tapeli kavaa suti kubwa anaongea "kizungu" kigumu, ananukia uturi maridadi, mnamfungulia milango yote anaiba kila kitu.
Akija an ascetic intellectual shabbili dressed anayeweza kuwasaidia mnamfukuza. Kila kitu watu wanaangalia the superficial, wanaona the shallow bila kutaka kujua the deep.
.....Na kama Mnyika anataka kuwavutia wapiga kura kwa matokeo yake ya sekondari basi ni vema walau angetaja yote na si A zake za form 4 tu.
Kwa kumbukumbu zangu... kama nakumbuka sawa ... which if I remember correctly ...
Mkuu p53... much as i agree with you kwamba kuna watu wanapata mitihani na kuwa na scores wasizo-deserve, it is impossible kwa kilaza kupata 1 ya point saba form four hata akilala na mitihani wiki moja!!!
even the mediocre huwa wanaishia div 1 ya point 12-15 baada ya kukesha na pepa zao
Lets give each other credits where and when it matters most and in this case John deserves some credits
I am glad he is still our active member
De Novo salute mkuu!Wewe walau unaongea hali halisi na umeelewa naongelea nini.Anyway hata angepata div 3 anastahili hongera vilevile manake na yenyewe ni alama ya kufaulu!
Mkuu mbona umeandika vitu vingi hata visivyohitajika hapa halafu kwa dharau naona unajaribu kuniwekea maneno ambayo sikuyasema.Hakuna aliyesema Mnyika hafai kuwa kiongozi kwavile alifaulu au alifeli sekondari.Bado sikusema kuwa kigezo cha uongozi Tanzania au ili kuwa kiongozi bora ni lazima uwe na shahada ya chuo kikuu.Isipokuwa mleta mada anataka kujua kama Mnyika alipata sifuri au la,tena akauliza ni muhimu?Sasa hiyo longolongo yako ya kina Truman nadhani ingekuwa vema kama ungemjibu muuliza swali wakati unamsifia Mnyika kuwa ni kichwa kwa vile alipata A zote kidato cha nne.
Wengine hatukubali mtu kuitwa kichwa eti kwavile alipata A zote kidato cha nne.Na si kwa Mnyika tu,ni kwa yeyote yule.Na kama Mnyika anataka kuwavutia wapiga kura kwa matokeo yake ya sekondari basi ni vema walau angetaja yote na si A zake za form 4 tu.
Kama unaona kuwa hii ni ligi ya kombe la mbuzi, basi mimi naenda kununua njumu na jezi maana game ya kwanza ndio imeanza hivi.
Hakuna "siri" kuwa mitihani inavuja lakini hiyo siri haijafanya matokeo ya mitihani yawe feki kwa vile wajanja wachache walipata mtihani. Umeandika kaa vile una habari za ndani za wizi wa mitihani bongo hence swali langu kwako - matokeo yako nawe ni feki?
BTW - unamkumbuka aliyeandika hiki hapa chini?
Jifunze kutokuamini yote unayosoma hapa JF mkuu.
Kwahiyo JF kumejaa uongo mtupu?Mimi sina habari zozote za ndani mkuu zaidi ya kufuatilia taarifa za kwenye vyombo vya habari.Sasa kwenye mazingira ya mitihani kuvuja hata credibility ya matokeo inakuwa ni ya mashaka pia.
Kwahiyo wewe Mkuu yanayoandikwa hapa JF yote unayachukulia ni ukweli?Mtu akisema ana PhD hapa wewe unaamini kweli anayo?Mtu akisema anafanya Masters wewe unaamini kabisa kuwa ni kweli?Mtu akiandika alisoma Azania wewe unaamini kabisa ni kweli?Jifunze kutokuamini yote unayosoma hapa JF mkuu.
Kwahiyo JF kumejaa uongo mtupu?
Ahh hizi ndio hadithi ya sizitaki mbichi hizi.Kama kupiga A saba ni rahisi katika zama hizi za mitihani ku-leak mbona hatuzioni hizo As za kumwaga?Kumbuka,kupewa mtihani au kuuona mtihani kabla ya kuingia exam room hakumaanishi kichwa panzi atapata A.Sanasana ataepuka kupata Fs.Kwani umeambiwa kuona mtihani ni sawa na kuona majibu?
Ebana naomba niitumie hii line kama sahihi yangu hapo chini....maana ina akili nyingi sana kwa sababu kuna watu kweli wanaamini kama wanavyoamini misahafu wanachokisoma hapa JF
Na mimi sikusema kwamba umesema unachofikiri kwamba nimesema umesema.
Au ni maswala ya joka la mdimu?
Hata kama alipata Div 0 to me it doesnt matter kama wewe p53 ulipata Div 1 with flying colours umelisaidia nini Taifa tunachoangalia ni performance katika uongozi wake ukianza kuchunguza matokeo ya mitihani ya viongozi hasa wabunge hutaamini macho yakoDe Novo salute mkuu!Wewe walau unaongea hali halisi na umeelewa naongelea nini.Anyway hata angepata div 3 anastahili hongera vilevile manake na yenyewe ni alama ya kufaulu!