Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
- Thread starter
-
- #21
Mzee utakuwa unaishi huko Marekani, ila huku Tanzania kila Mwananchi anaona CCM inavyoisimamia Serikali, nani atawaamini Watu waliopo huko nje wanapiga kelele kwenye mitandao tu? Wananch wanaona utekelezaji wa wa ahadi zilizotolewa na Chama wakati wakinadi Ilani yao.Haina VICHWA, wangekuwepo JIWE asingehangaika akihaha kumnunua.
CCM Iko ktk hatua za mwisho wa uhai wake.
Mnyika hawezi pishana na GARI la mshahara!!!!!
Siyo kweliKila Mtanzania asili yake CCM mzee, ukizaliwa tu wewe ni CCM maana Wazazi wako wote walikuwa CCM , Kama hutaki wewe ni mbishi tu johnthebaptist
Nani aliyekudanganya ? johnthebaptistSiyo kweli
Hata wakati wa Chama Kimoja kuna Watu wengi tu hawakuwa CCM
Siyo kweli
Hata wakati wa Chama Kimoja kuna Watu wengi tu hawakuwa CCM
Enzi ya chama kimoja mm ni mmoja wa watu waliowakataa viongozi wabovu wa CCM Kwa kuchagua KIVULI au blank😃😃😃Kila Mtanzania asili yake CCM mzee, ukizaliwa tu wewe ni CCM maana Wazazi wako wote walikuwa CCM , Kama hutaki wewe ni mbishi tu johnthebaptist
Mnyika ana akili timamu and he knows what he wants, unachokiona bora yeye anweza kukiona kibovuNdugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Kweli mnatekeleza Kwa Umakini mkubwa.Mzee utakuwa unaishi huko Marekani, ila huku Tanzania kila Mwananchi anaona CCM inavyoisimamia Serikali, nani atawaamini Watu waliopo huko nje wanapiga kelele kwenye mitandao tu? Wananch wanaona utekelezaji wa wa ahadi zilizotolewa na Chama wakati wakinadi Ilani yao.
Propaganda UCHWARA za Shaka .... Lumumba!!Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Mnyika sio mwehu kama wewe alishwindwa yule Kichaa wenu hakuna wa kumwamisha MNUIKA CHADEMANdugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Holy CrapNdugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Uwongo sio chuo toka akiwa Olevel tambua aligombea ubunge Jimbo la ubungo kwamara ya kwanza akiwa kidato Cha nne(huyo ndo John John mnyika)Nina uhakika huyu mwamba alijiunga na chama chake akiwa Chuo. Hivyo sema ahamie sio arudi.
Sijui kulikua na tukio gani siku hiyo,na sijui hatma ya huyo kamanda.Hii picha hua inanifurahishaga sana...
Hii picha huwa c choki kuiangalia aisee japo ni ya kitambo maccm ni mafisi tu
nyerere aliwahisema ccm cyo mama yake wala baba yakeKila Mtanzania asili yake CCM mzee, ukizaliwa tu wewe ni CCM maana Wazazi wako wote walikuwa CCM , Kama hutaki wewe ni mbishi tu johnthebaptist
Mtu akiitaji ccm huwa nahisi kutapika.Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.