John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

Haina VICHWA, wangekuwepo JIWE asingehangaika akihaha kumnunua.

CCM Iko ktk hatua za mwisho wa uhai wake.

Mnyika hawezi pishana na GARI la mshahara!!!!!
Mzee utakuwa unaishi huko Marekani, ila huku Tanzania kila Mwananchi anaona CCM inavyoisimamia Serikali, nani atawaamini Watu waliopo huko nje wanapiga kelele kwenye mitandao tu? Wananch wanaona utekelezaji wa wa ahadi zilizotolewa na Chama wakati wakinadi Ilani yao.
 
Tumia muda pia kuwashauri Polepole, Kabudi, Lukuvi, Bashiru Musukuma nk wawaachie CCM wenyewe kwani sio ile wanayoijua
 
Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.

John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.

Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.

Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.

Maendeleo ni kwa Watanzania.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Mnyika ana akili timamu and he knows what he wants, unachokiona bora yeye anweza kukiona kibovu

Usimpangie
 
Mzee utakuwa unaishi huko Marekani, ila huku Tanzania kila Mwananchi anaona CCM inavyoisimamia Serikali, nani atawaamini Watu waliopo huko nje wanapiga kelele kwenye mitandao tu? Wananch wanaona utekelezaji wa wa ahadi zilizotolewa na Chama wakati wakinadi Ilani yao.
Kweli mnatekeleza Kwa Umakini mkubwa.

Vp, mlishampata anaeweka maji ya maiti kwenye samaki wa Kanda ya ziwa???

Ni halali mumtolee mate Mnyika Kwa ubovu wa viongozi mlonao.😃😃😃
 
Mnyika hajawahi kuwa mwanaCCM. Kitu cha pekee alicho nacho Mnyika ni umakini katika kufanya siasa zake.. ana timing kali sana. Huwezi kukuta anasumbuana na vyombo vya dola hovyo. Hata kabla hajakuwa mwanasiasa mkubwa alikuwa akishiriki matukio mengi ya kuharakati na kampeni mbalimbali za vijana. Nakumbuka Shigongo alikuwa na kampeni yake ya kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura kwenye miaka ya karibia 2010 ambapo Mnyika alishiriki vizuri sana hadi Shigongo akamtabiria kuja kuwa kiongozi mkubwa. Nadhani CCM imsajili Mnyika na Sugu.
 
Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.

John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.

Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.

Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.

Maendeleo ni kwa Watanzania.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Propaganda UCHWARA za Shaka .... Lumumba!!
 
Mnyika sio mwehu kama wewe alishwindwa yule Kichaa wenu hakuna wa kumwamisha MNUIKA CHADEMA
 
Holy Crap
 
Mtu akiitaji ccm huwa nahisi kutapika.

Chama kilichojaa dhulma, ukatili, unyama, wizi, ujambazi nk
 
Back
Top Bottom