PreGE2025 John Mnyika: Waliondoka CHADEMA wameambiwa waende CHAUMMA na hii yote ni kutaka kuwapotezea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama kimoja kidogo cha upinzani (CHAUMMA), sasa kwa sababu mmeshawashtukia dawa yao ni kuwapotezea," - John Mnyika

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
mimi binafsi nilishangaa sana ati watu wazima wanalialia wanatengwa!Nikajiuliza hivi hawa wanaishi dunia ipi(?)Duniani kote hasa ktk Ulimwengu wa kimagharibi/kidemokrasia kwenye chaguzi za ndani ya chama upande wako ukishindwa unaachia madaraka unabaki mdogo maana tafsiri yake wanachama wenzio wamekataa maono yako wameyapenda ya mwenzako na hivyo unapaswa umwachie yeye na maono yake na anachagua au kupendekeza watu wake.Hyo haina maana umefukuzwa kwenye chama..yaan n kama vile Trump alivyokuwa anawania kuteuliwa na chama chake wale aliowashinda walihama chama au kuanza kulialia kwamba wanatengwa!?Maajab kwelikweli..sema media zetu ziko very biased hawakupaswa hata kupewa headlines.Unampaje headline aliyeshindwa!?Ili iweje labda..Watu wazima akili za kijima kabisa..mtu mzima uliyepewa nafasi zaidi ya miaka mitano unalialia umenyimwa cheo!Pathetic
 
UNLESS CCM INAWAPA MAJIMBO YA BURE, HAWAWEZI SHINDA KITI HATA KIMOJA/UCHAGUZI....
 
Unampaje headline aliyeshindwa!?
Umenikumbusha habari ya bondia Kaoneka aliyempigaga Mandonga mtu kazi ile mwaka 2023, halafu media zikawa zinamhoji Mandonga badala ya Kaoneka na dili za Matangazo akapata Mandonga. Jamaa (Kaoneka) alimaindi sana, kwamba kashinda halafu hahojiwi😆😂. Siku moja akataka kumpiga mwandishi, kuwa hamnihoji mimi mnaishia kumhoji Mandonga😆😆

Umeeleza vyema sana, G55 wanaleta umama, kujiliza liza kibwege. Halafu watasababisha CHAUMMA kionekane ni chama kidogo kisicho serious wakati kiuhalisia ni bonge la chama chini ya President Hashim Rungwe
 
mimi binafsi nilishangaa sana ati watu wazima wanalialia wanatengwa!Nikajiuliza hivi hawa wanaishi dunia ipi(?)Duniani kote hasa ktk Ulimwengu wa kimagharibi/kidemokrasia kwenye chaguzi za ndani ya chama upande wako ukishindwa unaachia madaraka unabaki mdogo maana tafsiri yake wanachama wenzio wamekataa maono yako wameyapenda ya mwenzako na hivyo unapaswa umwachie yeye na maono yake na anachagua au kupendekeza watu wake.Hyo haina maana umefukuzwa kwenye chama..yaan n kama vile Trump alivyokuwa anawania kuteuliwa na chama chake wale aliowashinda walihama chama au kuanza kulialia kwamba wanatengwa!?Maajab kwelikweli..sema media zetu ziko very biased hawakupaswa hata kupewa headlines.Unampaje headline aliyeshindwa!?Ili iweje labda..Watu wazima akili za kijima kabisa..mtu mzima uliyepewa nafasi zaidi ya miaka mitano unalialia umenyimwa cheo!Pathetic
Miaka yote walihubiri kuhitaji reforms kumbe hawakumaanisha!
Political mercenaries, wasakatonge na wapiga dili! Wakafie mbere!
 
Na pale CHAUMA hawana chao. Mzee wa ubwabwa hayuko tayari kuwaachia madaraka yake. Si walichekelea Mbowe kung'ang'ania madaraka? Wakavumilie kumwona Hashim Rungwe akiwa Mwenyekiti wa kudumu.
 
Hao siku sio nyingi watarudi kuomba msamaha kuwa walirubuniwa. Hata wakirudi wakae kama wanachama wa kawaida tu walau kwa miaka 5 ndiyo waoate nafasi za kugombea tena.
 
Kinacho shangaza ni namna ambavyo viongozi wakuu wa chama wanavyo waandama watu ambao wanadai kuwa walikuwa mzigo kwenye chama. Katibu Mkuu badala ya kuzungumzia namna watakavyo hakikisha uchaguzi haufanyiki kama hayatakuwepo, anazungumzia wakina Mrema kuhamia Chaumma! Wao sio wanachama wenzenu tena, achaneni nao, wekeni focus katika NRNE.

Amandla...
 
Miaka yote walihubiri kuhitaji reforms kumbe hawakumaanisha!
Political mercenaries, wasakatonge na wapiga dili! Wakafie mbere!
wameitakasa chadema aisee..hata watu waliokuwa wanaiona chadema kama si mbadala sasa wanaiona ni nyota ya matumaini!Hivi tujiulize hiv watu kama hawa ukiambiwa ni mapandikizi/mercenaries/puppets utakataa kweli!?Ok tusemw sio mapandikizi labda wapenda mageuzi je kutokupewa cheo wakapewa wenzako na wew ulipewa zaidi ya miaka 10 kama Kigaila huyo itakuwa ni jambo baya?Kama umepewa nafasi zaidi ya miaka 5 umeshindwa ku-deliver akipewa mwingine wew nongwa ya nini?..Anyway tuseme umefanyiwa figisu umetengwa(kama wanavyosema wao) je unatoboa jahaz ili chombo kizame mfe wote?Kwanini usikifie chama..uwe tayar kuumia ili chama kivuke na watz wavuke?Kwa akili ile wangepata nafasi Serikalini wangeweza kweli kuleta changes,thanks to God alipita Lissu
 
UNLESS CCM INAWAPA MAJIMBO YA BURE, HAWAWEZI SHINDA KITI HATA KIMOJA/UCHAGUZI....
CCM itashinda on paper but the hearts of the people will go the other way round!
Vip utahisi vipi ukickia kuwa mkeo anaishi na wew kama mme tu lakini moyo wake na akili yake ipo kwa jamaa!Na bahati mbaya kuna wakati anakosea kukuita anakuita jina la jamaa!!!That is the real feeling pale unapotumia authoritarian power to stay in power
 
CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama kimoja kidogo cha upinzani (CHAUMMA), sasa kwa sababu mmeshawashtukia dawa yao ni kuwapotezea," - John Mnyika

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1 John 2:19
[19]They went out from our number, but they did not [really] belong to us; for if they had been of us, they would have remained with us. But [they withdrew] that it might be plain that they all are not of us.

hakika CHADEMA mnatembea na Mungu. Mungu ni MUNGU wa haki. Mungu huwa upande wa haki. siku zote
 
Back
Top Bottom