figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA John Mnyika amesema, Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru. Watu wanadaia eti Jakaya Kikwete, Boniface Jacob, Sugu, Godbless eti walikaa kikao cha kubadilisha maazimio ya kamati kuu.
Wanaotoa taarifa hizo ni wale wanaotaka kutugombanisha. Hakuna kikao kama hicho. Wanataka wauaji watembee huru.
Sisi tunataka tundu Lissu awe huru na atokee msuruhishi wa kimataifa ndo tutaingia kwenye maridhiano.