figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
mnyika just relax 🐒Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA John Mnyika amesema, Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru. Watu wanadaia eti Jakaya Kikwete, Boniface Jacob, Sugu eti walikaa kikao cha kubadilisha maazimio ya kamati kuu.
Wanaotoa taarifa hizo ni wale wanaotaka kutugombanisha. Hakuna kikao kama hicho. Wanataka wauaji watembee huru.
Sisi tunataka tundu Lissu awe huru na atokee msuruhishi wa kimataifa ndo tutaingia kwenye maridhiano.
View attachment 3671416
Kwahiyo watumishi wa Meno kazi yao kuu ni kukandamiza wananchi wanaowalipa Mshahara? Kwanini wasifutwe kaziHata yeye John nimeona humu kuna nyumbu wanasema naye ni mtumishi wa Meno aka tith.
tena kitambo.Hata yeye John nimeona humu kuna nyumbu wanasema naye ni mtumishi wa Meno aka tith.
tena kitambo.
Kuanzia lini?tena kitambo.
Nani ana uthubutu huo?Kwa
Kwahiyo watumishi wa Meno kazi yao kuu ni kukandamiza wananchi wanaowalipa Mshahara? Kwanini wasifutwe kazi
yeye pamoja na vijana wote waliotoka Nccr na Tlp kujiunga na Dj MboweKuanzia lini?
Kuna magugu mengi ndani ya chama chako. Ni wakati wa kutokuangaliana usoni, mpitishe palizi ya kufa mtu otherwise hakuna mtakachovuna !Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA John Mnyika amesema, Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru. Watu wanadaia eti Jakaya Kikwete, Boniface Jacob, Sugu, Godbless eti walikaa kikao cha kubadilisha maazimio ya kamati kuu.
Wanaotoa taarifa hizo ni wale wanaotaka kutugombanisha. Hakuna kikao kama hicho. Wanataka wauaji watembee huru.
Sisi tunataka tundu Lissu awe huru na atokee msuruhishi wa kimataifa ndo tutaingia kwenye maridhiano.
View attachment 3671416
Sasa hivi huko ni vururuvururu tu! Mahakamani Katuga kakomaa nao, na Lema leo ana press conference. Mnyika LAZIMA achanganyikiwe!mnyika just relax 🐒
Mfukuzaji ni mnufaika. Ataanzaje?Kwa
Kwahiyo watumishi wa Meno kazi yao kuu ni kukandamiza wananchi wanaowalipa Mshahara? Kwanini wasifutwe kazi
Ok arelax kama Nchimbi🐒mnyika just relax 🐒
Na lema leo atawavua nguo mpaka washangae 🤣Sasa hivi huko ni vururuvururu tu! Mahakamani Katuga kakomaa nao, na Lema leo ana press conference. Mnyika LAZIMA achanganyikiwe!
Mtumishi wa Tith haruhusiwi kuwa CHADEMA?Hata yeye John nimeona humu kuna nyumbu wanasema naye ni mtumishi wa Meno aka tith.
Anaruhusiwa na wapo wengi tu.Mtumishi wa Tith haruhusiwi kuwa CHADEMA?