jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe.
Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za kushirikishwa kwenye matukio ya Chama chao na kuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa zaidi ya miaka 7 sasa huku akiwa amemnyang'anya tonge mdomoni ndugu Tumaini Makene na Yericko Nyerere.
Inashangaza sana kwa mtu huyu kukosa fedha ya kampeni.
Hii inaashiria kama John Mrema hana fedha za kampeni vipi hali ya wagombea wao huko mikoani?
TAFAKARI