Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi.

John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
 
Kwahiyo karudisha au kanyang'anywa ndiyo maana anaona aibu kaamua kukimbia?
Automatically kwa hatua yake ya kuhama chama, na hiyo media nayo atatakiwa kuachana nayo. Kinyume na hapo ataonekana ni mtu mwenye matatizo makubwa ya akili.
 
Automatically kwa hatua yake ya kuhama chama, na hiyo media nayo atatakiwa kuachana nayo. Kinyume na hapo ataonekana ni mtu mwenye matatizo makubwa ya akili.
Na atakuwa kainyonyoa sana kawaachia manyoya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…