John Mrema: Hata mimi sitakuwa na sababu ya kubakia CHADEMA siku ikiondoka kwenye misingi yake kama alivyosema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu

John Mrema: Hata mimi sitakuwa na sababu ya kubakia CHADEMA siku ikiondoka kwenye misingi yake kama alivyosema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka

Mrema amesema hata yeye hatakuwa na sababu ya kubakia Chadema siku ikiondoka kwenye misingi yake.

Soma Pia: Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

Source: Crownfm

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Back
Top Bottom