Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka
Mrema amesema hata yeye hatakuwa na sababu ya kubakia Chadema siku ikiondoka kwenye misingi yake.