Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha
Aliongeza kuwa Mbowe hakuwahi kusema kuwa CHADEMA itazuia Uchaguzi na hivyo kinachofanyika sasa hivi sio maadhimio rasmi ya chama
"Dhana ya No Reforms No Election ilianza kama kampeni mnamo mwezi Januari 2020 na baada ya retreat ya kamati kuu ya chama iliyofanyika Makueni nchini Kenya , ndiko chimbuko la No Reforms No Election ilikoanzia
"Kwa hiyo wale wanaodhani kuwa No Reforms No Election ni ya mwaka 2024 ni bahati mbaya hawana taarifa sahihi"
"Na hata tamko la kamati kuu la tarehe 11 Disemba 2024 la tathmini ya tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mimi nilikuepo, ukisoma lile tamko la maandishi hakuna mahali liliweka hiyo dhana"
"Na hata ukisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa wakati huo Mheshimiwa Mbowe alisema tukifika 2025 wakati wa Uchaguzi kama hakuna reforms, chama kitafanya maamuzi sahihi, hakusema tutazuia Uchaguzi"