John mrema: Msiendelee kuchokoza walioamua kutulia na kukaa kimya ! Hasara itakuwa kubwa kuliko faida !

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Naona unahamisha Magoli ! Kwamba mwenye tafsiri sahihi kwamba Maridhiano haya yana tija Kwa Taifa na jamii ni nani ?
Kwamba mwenye kuona faida ya maridhiano ni lazima awe diaspora?

Kwamba Maridhiano ya awali hayakuwa na tija ,nani mwenye kusikilizwa?

Haya mambo yafike mwisho Sasa ,kama kweli Kuna Nia njema !

Isiwe kuwa Kuna mmoja anadhani kauli na matendo yake ni sahihi ila wengine sio sahihi !

Msiendelee kuchokoza walioamua kutulia na kukaa kimya ! Hasara itakuwa kubwa kuliko faida !

AKIJIBU ANDIKO LA
Baba Mwita ktk account ya X.
Ameandika Jon Mrema kada wa chadema ktk account yake ya X.
Kaandika hivi.

Hii hoja ya MARIDHIANO inapotoshwa mno na baadhi ya wadau. Raia wengi tulipinga yaliyoitwa 'maridhiano' yaliyofanywa kati ya CCM & CHADEMA. Sababu kuu ya kuyapinga ni namna yalivyoanzishwa & kufanyika, huku ikibainika hakukuwa na nia njema kabisa.

Hii ieleweke vyema! Hakuna aliyewahi kupinga maridhiano ambayo yana TIJA kwa Taifa. Huyo atakuwa ni MWENDAWAZIMU. Kwenye historia, yapo maridhiano yaliyowahi fanyika na yalileta TIJA kwa Mataifa mbalimbali.

Leo, CCM ikitangazia Umma kuwa inataka kufanya maridhiano ya Kitaifa, na Jamii ikaona yana nia njema, basi nadhani yataungwa mkono. Isipokuwa, Jamii ikiona maridhiano hayo yamekuja ili KUDHOOFISHA harakati za Upinzani na kupotezea watu muda, basi yatapingwa vikali mno.

Hivyo basi, unapotetea hoja ya MARIDHIANO, ni vyema ukaitetea kwa NAMNA ambayo maridhiano hayo husika yamefanyika na si neno maridhiano kwa UJUMLA wake. Nimebaini, hili suala linapotoshwa na wengi waliokuwa wanaunga mkono maridhiano ya CCM & CHADEMA ili ku JUSTIFY kilichofanyika kuwa ni HALALI. Yale hayakuwa maridhiano, bali ulikuwa ni UTAPELI tu. Kama yangekuwa na TIJA, wengi tungesifu.

Narudia tena, hoja si neno MARIDHIANO, bali ni namna yanavyoanzishwa na kutekelezwa. Unapotetea hoja hii, jua kuitofautisha na usitetee kama dhana ya JUMLA JUMLA.
 
pumzikeni, uchaguzi umeisha wajumbe wamemchagua walie mchagua.

Kama hamkutaka kafungueni kesi
 
Kichwa cha habari haiakisi kilicho andikwa ……… nikama umetemea kulia ukafukia kushoto
 
Uhakika 💯
 
Walabuliwe wote wanaowaona wabongo ni mazezeta wao.
 
Wenye akili wanajua uchaguzi umeisha jengeni chama.
 
Mkuu hicho kipele chako akikunwi vizuri!?
 
Back
Top Bottom