Uchaguzi 2020 John Mrema wa CHADEMA asiposhinda Segerea nahama Dar

Uchaguzi 2020 John Mrema wa CHADEMA asiposhinda Segerea nahama Dar

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia.

Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama inasemekana alimaliza na wajumbe tu ila Wana CCM hawamtaki na sasa wanamtamkia wazi wazi kuwa watachagua mbunge wa upinzani ila madiwani watachagua wa CCM.

Njia nyeupe kabisa kwa John Mrema wa CHADEMA ni sawa na Mbunge aliyepita bila kupingwa. Yaani pale ni sawa na kumsukuma mlevi yaani.

IMG-20200913-WA0062.jpg
 
Kisa nini! Talaka? Au kubadili ubinti wake? Ile si ilikuwa ajali tu bungeni kama ya Lissu.
 
Huyo mama Jimbo lake halina maendeleo kabisa, sijui kwa nini watu Tabata na maeneo mengine mlitumia vigezo vipi kumchagua huyu kilaza.
 
Hiyo ni taswira ya hali ya CCM hasa yale majimbo ambayo maamuzi ya wajumbe yalipuuzwa na kuchaguliwa watu wengine na mwenyekiti.
 
Hama kabisa maana huyo Mrema yeye mwenyewe anajua hashindi ndio maana hafanyi hata kampeni.
 
Back
Top Bottom