Pre GE2025 John Mwambigija achukua fomu ya Kugombea Uenyekiti wa BAZECHA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwanasiasa Mkongwe Mkoani Mbeya, Ambaye amechangia Kustaafisha siasa Wanaccm wengi Mkoani humo, Mzee John Mwambigija, leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea uongozi wa Juu wa Baraza la Wazee la Chama chake



Hivi sasa Mwambigija ni Mwenyekiti wa Bazecha Mkoani Mbeya.

Kiukweli sasa inaelekea Baraza la Wazee linataka kupata viongozi hasa na ambao wametafutwa kwa miaka mingi mno.

Mungu Ibariki Chadema
 
BAZECHA!
BAraza Zee CHAdema.
Sasa hapo wazee iko wapi?
 
Huyu ndo mzee wa upako?
 
Kama ndie mzee wa upako ,ilo balaa lingine, wasiomjua uyu pole yao , anafaa sana ,na ukizingatia kivumbi cha 2025 moto utawaka , uyu mzee kwenye majukwaa ya kisiasa ni balaa sio la nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…