zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mzee wa upako, safi sana.Mwanasiasa Mkongwe Mkoani Mbeya, Ambaye amechangia Kustaafisha siasa Wanaccm wengi Mkoani humo, Mzee John Mwambigija, leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea uongozi wa Juu wa Baraza la Wazee la Chama chake
View attachment 3180951
Hivi sasa Mwambigija ni Mwenyekiti wa Bazecha Mkoani Mbeya.
Kiukweli sasa inaelekea Baraza la Wazee linataka kupata viongozi hasa na ambao wametafutwa kwa miaka mingi mno.
Mungu Ibariki Chadema