Pre GE2025 John Mwambigija achukua fomu ya Kugombea Uenyekiti wa BAZECHA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee wa upako, safi sana.
 
Bila Lisu kuwa Mwenyekiti hapo CHADEMA haya yote yanayofanyika ni kazi bure, ni kupoteza muda tu
 
Na wewe ulikula za nani hadi unajichekesha chekesha humu?
Hilo lilevi la komoni linataka kuongoza Baraza la Wazee, takataka kabisa,. Labda kachanganya Baraza la Wazee na Baraza la Walevi
 
Huyo mchekeshaji wa Nyanda za Juu Kusini kaamua achekeshe taifa sasa, alikula hela za sauli miaka ile kwenye uchaguzi
Sauli angwkuwa ana hela angedhulumu nyumba Kariakoo hadi kuja kuumbuliwa na Jerry Silaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ