TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

Jamaa alikuwa anaegesha gari wazee wa kazi wakampiga risasi kisha kuondoka bila kubeba chochote.
Mwankenja alikuwa ametoka kumuona mkewe aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Mbeya mjini
 
so sad. Namuomba Mungu kama ni sababu za kisiasa zisiendelee maana tutaelekea kubaya.
 
mama yangu
Tanzania nini tena hiki?
mwenyezi mungu ametowa na pia ametwaa jina lake liabudiwe,kama ni mambo ya kiasa basi sasa bongo tumefika mbali,kwa kuwa hatujui nini chanzo ngoja tusubiri

Ila wasije husisha na CDM Maana kila jambo baya litokealo kwa upande wa CCM huusishwa na CDM,HEHEHEHEHEHEHE
 
Kunataarifa zisizokuwa Rasimi Naibu Waziri Ujenzi Harrison Mwakyembe Amepigwa risasi yeye pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mbeya!Kadri habari zitakavyokuja tutawajulisha.
 
Tanzania inaelekea pabaya.. juzi Nyambari kapigwa, jana Mwakenja kauwawa.. who is next??
 
mama yangu
Tanzania nini tena hiki?
mwenyezi mungu ametowa na pia ametwaa jina lake liabudiwe,kama ni mambo ya kisiasa basi sasa bongo tumefika mbali,kwa kuwa hatujui nini chanzo ngoja tusubiri

Hata Jembe letu Makyembe nalo wanataka kulichakachuwa,naomba isiwe ya kweli juu ya Makyembe,Mpiganaji
 
Acha kutafutana na presha za watu ndugu, weka habari nzima bosi...
 
Amepigwa risasi akiwa nyumbani? Au ziarani. Endelea kutujuza ndgu. Tunasubiria hizo taarifa kwa ham.
 
Angalia sredi inayo mhusu John Mwankenja, nadhani inamaelezo mazuri kuliko hii.
 
Duh! sasa tunaenda wapi Watanzania? Nadhani tungeshughulika na watu kama Edward Lowasa n.k kuliko kuendelea kuwashughulikia waadilifu wanaopinga ufisadi.

Pole sana mwakyembe. Kama umepigwa risasi ya kichwa matibabu yanawezekana - uwahi tu hapa USA.

Endelea kutujuza mtaalamu uliyeko aliko Mheshimiwa Mwakyembe.
 
mkubwa are you serious in this? Mbona mambo ya ajabu haya sasa?
 
Kama watu wanaua halafu hawachukui chochote, ina maana lengo lilikuwa ni kuua tu, na si ujambazi.
 
Kunataarifa zisizokuwa Rasimi Naibu Waziri Ujenzi Harrison Mwakyembe Amepigwa risasi yeye pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mbeya!Kadri habari zitakavyokuja tutawajulisha.

Mwakyembe alikuwa tanga risasi zimepigwa mbeya???
 
mama yangu
Tanzania nini tena hiki?
mwenyezi mungu ametowa na pia ametwaa jina lake liabudiwe,kama ni mambo ya kiasa basi sasa bongo tumefika mbali,kwa kuwa hatujui nini chanzo ngoja tusubiri

Ila wasije husisha na CDM Maana kila jambo baya litokealo kwa upande wa CCM huusishwa na CDM,HEHEHEHEHEHEHE

Ya alionekana kwenye msafara wa chadema walipokuwa mbeya RIP
 
Back
Top Bottom