TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

Wakati CHADEMA wanabadilisha rangi za bendera yao na kuweka rangi nyekundu ndani ya bendera mpya, watu wengi tulikuwa hatujawaelewa .

Ila hivi sasa kwa yanayo jidhihirisha ni wazi kabisa maana ya rangi hiyo inaonekana wazi. Kwani matukio ya hivi karibuni ya kutaka kumuua Mh. Mbunge wa Tarime kwa kumpiga mawe , na jana kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya Rungwe, yaonekana kabisa kuna mkono wa CHADEMA na kuna kikosi maalum cha mauaji kimeundwa kwa ajili ya kutekeleza yale yaliyomo kwenye bendera yao ya alama nyekundu ambayo ni mauaji na umwagaji damu
poor analysis, poor thinking. Like ur name, realy u need to think twice before u comment.
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu Mwankenja alipigwa risasi akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.

Wauaji walitoweka mara baada ya kukamilisha mauaji yao na kabla ya watu kukusanyika. Hadi sasa sababu za mauaji hayo hazijafahamika. Hata hivyo baadhi ya viongozi waliofika nyumbani kwa marehemu usiku huu wanahofu mauaji hayo kuhusiana na masuala ya kisiasa.

8589601.jpg

Marehemu John Mwankenja

very bad, kama ni siasa basi tunaelekea kubaya tena kubaya. Watafutwe kwa udi na uvumba, lakini kwa makini tusisingiziane kama Masha alivyosema kwa chama fulani
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu Mwankenja alipigwa risasi akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.

Wauaji walitoweka mara baada ya kukamilisha mauaji yao na kabla ya watu kukusanyika. Hadi sasa sababu za mauaji hayo hazijafahamika. Hata hivyo baadhi ya viongozi waliofika nyumbani kwa marehemu usiku huu wanahofu mauaji hayo kuhusiana na masuala ya kisiasa.

8589601.jpg

Marehemu John Mwankenja

mngu ailaze loho ya malehemu mahali pema peponi
 
Nimepata nafasi ya kuajiriwa na kaka yake
Kwa kifupi nilikua ndani ya familia yao

Kuna Visa vingi Sana vilivyosababisha kifo chake
Za chini kbs kwa watu wakaribu Sana ni kwamba alifanya dili na watu akawadhurum
 
Pumzika kwa amani kiongozi. Mwendo umeumaliza. Mungu atawahukumu waliokatisha maisha yako
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu Mwankenja alipigwa risasi akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.

Wauaji walitoweka mara baada ya kukamilisha mauaji yao na kabla ya watu kukusanyika. Hadi sasa sababu za mauaji hayo hazijafahamika. Hata hivyo baadhi ya viongozi waliofika nyumbani kwa marehemu usiku huu wanahofu mauaji hayo kuhusiana na masuala ya kisiasa.

Marehemu John Mwankenja

Viongozi na Wanasiasa wengine waliowahi kupigwa risasi
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume

- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

- Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

- Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

- TANZIA - Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

- Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

- Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

- Askari polisi aliyepigwa risasi na majambazi Tanga afariki

Raisi kashasema hivi ni vifo vya kawaida sasa inabidi tuzoee haya mambo 🤕. Hayo ni maneno ya Raisi kwamba ni mambo ya kawaidia kutekwa, kuuwawa na kupigwa risasi. Tukiongee nyie hapa ni wakati mnaleta uchawa sasa msishangae majangili watakuwa wanachukuwa tender za mauaji kila siku
 
Kifo ni kifo kwa sauti ya prezdar a.k.a mfariji mkuu.
 
Back
Top Bottom