Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kada wa Chama cha Mapinduzi John Warioba Mwita amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi leo tarehe 28 Juni 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwita anaongeza idadi ya watia nia hao wanaoomba ridhaa ya CCM kupitishwa kuwania Ubunge jimboni humo.