Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 28, 2025 #1 Kada wa Chama cha Mapinduzi John Warioba Mwita amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi leo tarehe 28 Juni 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mwita anaongeza idadi ya watia nia hao wanaoomba ridhaa ya CCM kupitishwa kuwania Ubunge jimboni humo.
Kada wa Chama cha Mapinduzi John Warioba Mwita amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi leo tarehe 28 Juni 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mwita anaongeza idadi ya watia nia hao wanaoomba ridhaa ya CCM kupitishwa kuwania Ubunge jimboni humo.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jun 28, 2025 #2 Pascal Mayalla hajachukua Form ?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Jun 30, 2025 #3 Mwita huko Kawe unafuata nn