Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
mi nadhani mubah ndo hana maswali ya maana kabisa!
John walau anauliza maswali ya maana ila Mubah ni garasa kabisa
Nwivu utawaueni nyie fanyeni yenu.
mbona wanauliza maswali vizuri kumbukeni kile kipindi siyo kama interview za CNN,ITV au BBC.
kipindi cha mikasi lazima kiwe na maswali ya kizushi mengi.
mkitaka maswali ya muhimu muangalie This week in perspective TBC ijumaa au dakika 45 itv.
mjue namna ya kutofautisha aina ya vipind, waangaliaje wake ni vijana au wazee, lengo la kipindi.
nyie ndio mrudi shule amjue mlisemalo. polen sana
hiyo chemistry wanayotengeneza wale maboya na salama ni bab kubwa kuliko angekuwa salama na watu ambao wewe unadhani wana maswali ya maana au wajanja!....kwanza inabidi uelewe wale jamaa wako pale si kama wagtangazaji bali vinyozi kwahiyo wanachokifanya nin kitu halisia!...Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu mnafuatiliaga tinga number moja kwa vijana eatv mkasi show nazani hawa majama mna waonaga.
Ushauri waende course kidogo ama wa mwachie salama afanye yake maana wanauliza maswali kama watoto walasaba?
N
Nadhani Salama kawakuta wale Muba na Awilo pale salon wakiwa wanafanya kazi zao za kunyoa na kutengeneza nywele. Na kile kipindi kinatakiwa uwe unaweza kufanya hizo kazi kasoro host mwenyewe,kwasababu kinafanyika salon.
Ni washamba kiukweli mi nawachukia. Sijui kwanini wasiwe wanakaa tu kimya
N
Nadhani Salama kawakuta wale Muba na Awilo pale salon wakiwa wanafanya kazi zao za kunyoa na kutengeneza nywele. Na kile kipindi kinatakiwa uwe unaweza kufanya hizo kazi kasoro host mwenyewe,kwasababu kinafanyika salon.
Nyie watu kwa majungu, uliona wapi saluni kuna maswali ya maana? Wale wamewekwa maksudi kukamilisha dhana kwamba zile ni story za saluni, udaku, umbea, tetesi , pumba na maswali ya msingi. Acheni kuleta ujuaji na usomi katika sehemu zisizohusika utaonekana limbukeni wa elimu