Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
kile n kipindi cha burudan na sio bunge lile,wala hawakuwakilishi wewe wewe msomi ama wewe mjuaji na sio lazima waulize kwa ustaarabu ama kwa unyenyekev,pale zinapigwa soga,story majigambo,hadithi,n.k,.kamwangalieni genl. ulimwengu ama bungeni ama vikao vya katiba.acheni kuaply usomi kila mahala mtachekwa