Hata mtoto mdogo anapokuwa anaumwa mzazi akiamua kumpatia kidonge huwa anadanganywa kuwa kile kidonge ni pipiHakuna kitu kama hiko Mkuu. Ukiisoma barua yake vizuri yuko very clear - ameachana na UTUMISHI WA UMMA na SIASA. Further, anaendelea kuwa mtiifu kwa Mh. Rais. Tusianze kuhisi mambo yasiyokuwepo.
Ndiyo.ili mradi wote ni kina John