Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Leo john Emanuel Nchimbi, amesoma meseji aliyotumiwa na Hayati magufuli ya kumjuza yakuwa hawezi mwacha kamwe maana aliisha muaidi kumpa cheo.
Leo Nchimbi wakati anasa.meseji.yake alipoteuliwa kuwa Balozi.
Nchimbi anatumia meseji hiyo kutaka kutuamini yakuwa alikuwa Rafiki yake wa karbu ndio maana alienda chato Leo kumzika mama wa magufuli ahahaha hahaha hahaha 🤣
Nchimbi hajui hayati Magufuli alimwogopa Nchimbi yakuwa ni kirusi kupitia idara ya usalama wa Taifa ambacho kilikuwa kinaatarisha usalama wa Rais kikiendelea kuwa ndani ya Taifa.
Uteuzi wa Nchimbi ulikuwa na lengo la kumrudissha kwenye sisytem ili aweze kuwa controlled vizuri hasa mawasiliano yake na wapinzani wa magufuli.
Ikumbukwe Nchimbi alipinga uteuzi wa Magufuli kuwa Rais kwa madai yakuwa hakuwa na uwezo kamwe. Akiungana na Sofia simba na yule bwana mgogo sjui mwenyekiti wa ccm DODOMA!
Uteuzi wa Nchimbi katika Nafasi ya UBALOZI Haina tofauti na uteuzi wa Balozi polepole ulio fanywa na Samia ni kwamba anamwogopa pole pole ndio maana alimweka Cuba aise dogo akachoropoka ILA Sasa wamemtia kwenye zizi la ng'ombe.
Nchimbi uwezi kuwa Rafiki wa magufuli kamwe wewe ni Rafiki wa lowasaaaaa.
Hata Kikwete hamwezi kunywa maji pamoja Hadi Leo.