Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Rest in Peace John.
Your service to this great country will forever be remembered and honored.
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.
Kusema ukweli baadhi ya wanafamilia wa Baba wa Taifa wako too low profile kiasi licha ya mimi kukulia jirani na Pale Msasani huku tukisoma darasa moja na Milton sikuwahi kusikia lolote kumhusu John zaidi ya kusikia alikuwa na cheo cha Capt. wa JWTZ na alikuwa ni fighter pilot wa Jet.
RIP Capt. John Magige Nyerere.
Pasco
R.I.P JJ Nyerere...
Nyerere mwenyewe alifia London! Na alikuwa mjamaa!
Mkuu unampa pole Yericko ya nini huu msiba wala ahumuhusuPoleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Serikali imchunguze kwa lipi? Hebu funguka kidogo!
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.
RIP Capt. John Magige Nyerere.
Pasco