John Obi Mikel: Mchezaji 'mchawi' zaidi duniani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001


Kaanza Mourinho hakumtema
Kaja Scolari hajamtema
Kaja Avram Grant hajamtema
Kaja Hiddink hajamtema
Kaja Villas Boas hajamtema
Akaja Di Mateo hajamtema
Akaja Benitez hajamtema
Karudi tena Mourinho hajamtema
Karudi Hidink hajamtema
Na sasa kaja Conte hajamtema
Na hajawahi kuwa na uhakika wa first eleven
Na kila ligi ikiwa inaendelea utasikia dirisha lijalo anatemwa..likifika kimyaaaa..
.
Na hajawahi kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa anaongezewa mkataba...yeye anaongezewaga kimya kimya tuu....
Namzungumzia JOHN OBI MIKEL
WEWE BADO UNAAMINI UCHAWI HAUPO???
 
sio coincidence tu mkuu kuwa hatemwi? lakini obi ni mchezaji ambaye huwa anajitolea kwa kocha yeyote, pia kama kuna kuwa na strike ya wachezaji obi huwa hajihusishi hivyo kila kocha anaamini ni mtiifu..
 
Aisee kiukweli jamaa ana "zari" na nyota ya "kama sikutaki kumbe nakutaka"
Ni mchezaji potential pia pale darajani
He is an enforcer.. hao huwa hawasifiki lakini ni backbone ya timu. Umewahi kumsikia Sergio Busquets?
Luis Enrique Martinez kabla hajapanga timu huanza na jina lake wengine wanafuata including Messi.
 
Obi ni mchezaji anayejituma akipewa nafasi, hana tamaa hata akae bench yeye hana tatzo, halafu pale Chelsea ukiacha Kante, Obi bado ni muhimu kwa kidogo wa kukaba
 


!
!
Huyu ni mtoto wa mjomba wake TB Joshua. Ni dada wa bini yao mkubwa ambaye wwlalishea kaka na huyu jirani yao ambao walisaidiana kutoa mbuzi kisimani.
 
He is an enforcer.. hao huwa hawasifiki lakini ni backbone ya timu. Umewahi kumsikia Sergio Busquets?
Luis Enrique Martinez kabla hajapanga timu huanza na jina lake wengine wanafuata including Messi.


bora huyo ana uhakika wa namba huyu obi hana uhakika wa namba.
 
Na Ancelot pia hajamtema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…