Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kaanza Mourinho hakumtema
Kaja Scolari hajamtema
Kaja Avram Grant hajamtema
Kaja Hiddink hajamtema
Kaja Villas Boas hajamtema
Akaja Di Mateo hajamtema
Akaja Benitez hajamtema
Karudi tena Mourinho hajamtema
Karudi Hidink hajamtema
Na sasa kaja Conte hajamtema
Na hajawahi kuwa na uhakika wa first eleven
Na kila ligi ikiwa inaendelea utasikia dirisha lijalo anatemwa..likifika kimyaaaa..
.
Na hajawahi kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa anaongezewa mkataba...yeye anaongezewaga kimya kimya tuu....
Namzungumzia JOHN OBI MIKEL
WEWE BADO UNAAMINI UCHAWI HAUPO???