Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Unanikumbusha gemu ya fainali uefa 2012 jamaa habutui, full mipango.Umeongeza chumvi kidogo
Morinho ndie aliemleta Chelsea...na ilikuwa kwa ugomvi hata Man U walikuwa wanamtaka
Mikel ana kazi maalum ya kukaa na mpira hasa timu ikishashinda ili kupoteza mda
ndo maana anaanziaga benchi....
Sasa makocha wote wamekuja kugundua umuhimu wa nafasi yake hiyo
akitokea benchi anakaa na mpira sana ili kupoteza mda.....timu ikiwa imeshashinda
bora huyo ana uhakika wa namba huyu obi hana uhakika wa namba.
Unajua timu ina wachezaji wengine kwa ajili ya mashindano mbali mbali.. kila nafasi wachezaji wawili. Akiingizwa anatakiwa kuwa tayari.. kuna wakati wa majeruhi etc..
Kaseja yuko Wapi?Achana na wanaigeria *uchawi upo* na bado ancelloti hakumtema ramirez alitishia nafasi yake akauzwa amemtia miba essien yule essien bora kabisa. Alimtia jini nyumbani ballack akawa hapatamani london
View attachment 394456
Kaanza Mourinho hakumtema
Kaja Scolari hajamtema
Kaja Avram Grant hajamtema
Kaja Hiddink hajamtema
Kaja Villas Boas hajamtema
Akaja Di Mateo hajamtema
Akaja Benitez hajamtema
Karudi tena Mourinho hajamtema
Karudi Hidink hajamtema
Na sasa kaja Conte hajamtema
Na hajawahi kuwa na uhakika wa first eleven
Na kila ligi ikiwa inaendelea utasikia dirisha lijalo anatemwa..likifika kimyaaaa..
.
Na hajawahi kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa anaongezewa mkataba...yeye anaongezewaga kimya kimya tuu....
Namzungumzia JOHN OBI MIKEL
WEWE BADO UNAAMINI UCHAWI HAUPO???
INA maana kiwango cha obbi ni zaidi ya shwalztigger??