John Obi Mikel: Mchezaji 'mchawi' zaidi duniani

John Obi Mikel: Mchezaji 'mchawi' zaidi duniani

Umeongeza chumvi kidogo
Morinho ndie aliemleta Chelsea...na ilikuwa kwa ugomvi hata Man U walikuwa wanamtaka

Mikel ana kazi maalum ya kukaa na mpira hasa timu ikishashinda ili kupoteza mda
ndo maana anaanziaga benchi....

Sasa makocha wote wamekuja kugundua umuhimu wa nafasi yake hiyo
akitokea benchi anakaa na mpira sana ili kupoteza mda.....timu ikiwa imeshashinda
 
Unanikumbusha gemu ya fainali uefa 2012 jamaa habutui, full mipango.
 
Kumbe hata wale waganga wa nigeria wapo vizuri kuwazidi wakwetu hapa
Changamoto kwa wazawa
 
bora huyo ana uhakika wa namba huyu obi hana uhakika wa namba.

Unajua timu ina wachezaji wengine kwa ajili ya mashindano mbali mbali.. kila nafasi wachezaji wawili. Akiingizwa anatakiwa kuwa tayari.. kuna wakati wa majeruhi etc..
 
Unajua timu ina wachezaji wengine kwa ajili ya mashindano mbali mbali.. kila nafasi wachezaji wawili. Akiingizwa anatakiwa kuwa tayari.. kuna wakati wa majeruhi etc..

Bas obi atakua wa mashindano mengine yawezekana mkuu
 
Achana na wanaigeria *uchawi upo* na bado ancelloti hakumtema ramirez alitishia nafasi yake akauzwa amemtia miba essien yule essien bora kabisa. Alimtia jini nyumbani ballack akawa hapatamani london
 
Sasa kama kweli kuna uchawi kwanini huyo mchawi wake asimfanye mchezaji bora wa timu?
 
Kwa uchezaji wa Obi, ni muhimu Sana Kwa Ligi za EPL maana Obi ni kiungo mkabaji na huwa anacheza kama fatiki, ndo maana ukiangalia vizuri mechi anazopangwa ni zile ambazo chelsea anacheza na mahasimu wao wakubwa kama Man u, Liver, Asernal nk
 
Obi ni jembe England kama kiungo mkabaji, uchezaji wake ni kama enzi zangu nikipiga kabumbu, huwa namkubali na Chelsea ni chama langu, lakini pia wengi hamjui kuna mkurugenzi kwny benchi la the ufundi pale Chelsea ni M-Nigeria, wenzetu huwa wana mipango, kuteteana na kulinda utaifa wao.
 
Achana na wanaigeria *uchawi upo* na bado ancelloti hakumtema ramirez alitishia nafasi yake akauzwa amemtia miba essien yule essien bora kabisa. Alimtia jini nyumbani ballack akawa hapatamani london
Kaseja yuko Wapi?
 
Ameshikilia hirinzi ya timu.nadhani kuna kaukweli hapo.na akihama timu itafanya vibaya sana
 
Bila obi uefa 2012 tungeishindwa..alijituma sana
 
View attachment 394456

Kaanza Mourinho hakumtema
Kaja Scolari hajamtema
Kaja Avram Grant hajamtema
Kaja Hiddink hajamtema
Kaja Villas Boas hajamtema
Akaja Di Mateo hajamtema
Akaja Benitez hajamtema
Karudi tena Mourinho hajamtema
Karudi Hidink hajamtema
Na sasa kaja Conte hajamtema
Na hajawahi kuwa na uhakika wa first eleven
Na kila ligi ikiwa inaendelea utasikia dirisha lijalo anatemwa..likifika kimyaaaa..
.
Na hajawahi kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa anaongezewa mkataba...yeye anaongezewaga kimya kimya tuu....
Namzungumzia JOHN OBI MIKEL
WEWE BADO UNAAMINI UCHAWI HAUPO???

NILIJUA UMELETA FACTS KUMBE UMELETA ASSUMPTION....unajua mkataba wa Obi unaisha mwaka gani?
Mikel kwa wiki analipwa £73,333 kwa umri wake na mafanikio aliyonayo anaona bora amalizie mpira wake pale darajani sio kwamba hana pa kwenda na wala sio uchawi anaangalia huo mpunga.
WENZETU WANAJADILI KWA FACTS SIO TUNAJADILI HISIA ZETU TU. This shock move is Chelsea's best bit of business so far
 
Uchawi wake zaidi unaonekana uwanjani, hakuna asiejua,
 
Mi naamini huyu jamaa ana utiifu uliotukuka kwa makocha na wachezaji wenzake...pia anakumbuka alikotoka na anachokipata ameridhika..sijawahi sikia akitoa vijembe kwa makocha kama hazard alivyompa dongo mourinho juzi..hi strikes possibly hajihusishi nazo..japo kuna mnaigeria kwenye benchi la ufundi lakini nidhamu zake pia zinamsaidia..ANABEBEKA..huo ndio uchawi wa Obi Michael
 
Back
Top Bottom