M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Unataka ajenge hoja za utekaji na kutesaHuyu Mheshimiwa alipataje huo uongozi? Mbona hawezi Kujenga hoja akaeleweka?
Utazielewaje hoja za Pambalu kama upo mlengo wa kuteka, kuuwa na ukandamizaji?Huyu Mheshimiwa alipataje huo uongozi? Mbona hawezi Kujenga hoja akaeleweka?
1. Uzoefu wa siasa? Mafunzo ya uongozi?
2. Kiwango cha elimu?
Jimbo la Nyamagana kuna wasukuma?Huyo dogo anakubalika sana Jimbo la Nyamagana.
Ikifanyika sensa ya makabila nyamagana unafikir kabila lipi litaongoza nyamagana au unafikir nyamagana ni hapo mjini kati pekeyake.Jimbo la Nyamagana kuna wasukuma?
Basi sawa, ni sahihi huyo mwamba kukubalikaIkifanyoka sensa ya makabila nyamagana unafikir kabila lipi litaongoza nyamagana au unafikir nyamagana ni hapo mjini kati pekeyake.
Tueleze wewe kwanza kiwango chako cha elimu.Huyu Mheshimiwa alipataje huo uongozi? Mbona hawezi Kujenga hoja akaeleweka?
1. Uzoefu wa siasa? Mafunzo ya uongozi?
2. Kiwango cha elimu?