Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Bila mabadiliko ya kikatiba na kisheria na kimfumo, hakuna Uchaguzi 2025MAGULIFICATION must go on.
Chagua kwa umakini 2025
Siwezi kukulaumu. Nakubishia tu.Bila mabadiliko ya kikatiba na kisheria na kimfumo, hakuna Uchaguzi 2025
Ni kweli Magufuli alikuwa na mema yake mengi tu tunampongeza kwa hilo mfano mzuri vyuma vilipoanza kukaza boss wangu alifulia na mimi nikatimkia south kwa mwanangu wa faida baada ya mwaka mmoja na nusu nikarudi na kukuta mtaani kumebadilika kabisa nimepasahau home lami barabara za zege kibaoKila Rais atakayekuja kuongoza nchi hii atakutana na changamoto kubwa sana.atapimwa kwa kiwango cha juu je, ana uwezo wa kuvaa viatu vya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli?
Mambo aliyoyafanya wakati wa uongozi wake ni vigumu mno kusahaulika au kufutika katika fikra na mioyo ya Watanzania.
Alikuwa kiongozi wa kipekee mwenye uthubutu, mzalendo wa kweli, na mtendaji asiyeogopa changamoto alisimama kidete kwa ajili ya maslahi ya taifa, akapambana na ufisadi, uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
Kuna msemo usemao nyayo za tembo hazifutwi kwa ufagio.
Uongozi wa Magufuli umeacha alama kubwa alama ambazo zitabaki kuwa kipimo kwa kila anayekuja.
Kila kiongozi mpya atalinganishwa naye, kwa sababu aliweka viwango vya juu katika utendaji na uwajibikaji.
Hata mashati waliyovaa kwenye mkutano wao wa juzi yaliandikwa kazi na utu, nikajiuliza kama utu ndio huu kuteka na kuua wananchi.Mwanzoni mwaka huu nilishangaa TRA wanatoa taarifa ya mapato ya Robo ya kwanza ya mwaka ya 2025 wakilinganisha na ya Robo ya kwanza ya 2021...
Sasa nikajiuliza kwanini wasiilinganshe na mapato ya mwaka 1971 au na 1989 au 1991 au hata 2022?
Yaani Taifa limeshindwa kujitengenezea mipango endelevu bado linashindana na marehemu....
Ile utu ni kifupi cha "utumwa"Hata mashati waliyovaa kwenye mkutano wao wa juzi yaliandikwa kazi na utu, nikajiuliza kama utu ndio huu kuteka na kuua wananchi.
Magufuli anawatesa sana.