John Pombe Magufuli: The bravest hero I ever knew

Magufuli was not brave.

He was so afraid of the opposition that he suspended clear constitutional rights to assembly.

How could you say that such a cowardly bully is a brave man?
 
Jibu swali langu, ni WATANZANIA WANGAPI KATI YA WATANZANIA 50ML WALIOUWA KTK UTAWALA HUO NA UWATAJE HAPA JUKWAANI

Simple question..!!
Swali la kipumbavu sana hili. Siwezi kulijibu.
 
You need to update yourself to know more people (read more)....

He who does not travel, thinks his mother is the best cook....

“Bravery without forethought, causes a man to fight blindly and desperately like a mad bull. Such an opponent, must not be encountered with brute force, but may be lured into an ambush and slain.”​

― Sun Tzu
 
Imeandika kizungu ,ili watu wasichangie? Elewa mwendazake alikataa ujenzi wa bandari kwanza ili kutengeneza ten percent, ila ata leo angekuwepo ipo siku angeruhusu, maana dalili zilisha anza tangu alipotembelewa na ugeni wa china chato, acheni kujificha kwenye kivuli Cha uchambuzi ,

Kwamba hukumjua mapema ,huo ni unafiki Kwani amekuawa waziri vipindi vingapi? Mpaka hukumjua mapema
 
Ni kweli bado kuna teuzi ndugu. Namba ya simu ni muhimu
 
This guy was not a leader at all. He is a totally failure president. He did not know who is President of a country. He never thought that being a president is having a duty to care a nation and its people
 
Kati ya watanzania takribani 50ml, hebu nitajie watu 20 tu ( ambao ni sawa na 0.00004%) mashuhuri waliouwawa na Magufuli ktk utawala wake!!!!
Hata angeua mtu mmoja tu bila sababu bado ni MUUAJI katili. Maisha ya Mtanzania mmoja yana thamani sawa sawa na Watanzania Million 50.

Binadamu akifa hakuna namna unaweza kurudisha maisha yake. Huyu kichaa aendelee ku ROT IN HELL
 
 
Hata angeua mtu mmoja tu bila sababu bado ni MUUAJI katili. Maisha ya Mtanzania mmoja yana thamani sawa sawa na Watanzania Million 50.

Binadamu akifa hakuna namna unaweza kurudisha maisha yake. Huyu kichaa aendelee ku ROT IN HELL
Kwa mantiki hiyo basi hata Mbowe anastahili ku Rot in Hell baada ya kumrestisha in peace Makamu wake CHACHA WANGWE
 
There is a thin line between bravery and foolishness, he crossed that line too often. From which side of the line, I'll let time be the judge !

Allowing time to judge gross incapacity? That’s generosity. For him, many a times, that line was actually a chasm so wide as to be detected by even the visually-impaired. Yet he was completely blinded by utmost arrogance borne of the faulty Constitution that falsely confers infallibility on the URT President. Eti Rais hakosei, hashauriwi, hajaribiwi…!

Short of wisdom, he trampled on all logic and hacked his way across norms, laws, rules and procedures to get whatever he wanted. He relished on cheap populism. He eventually placed his own existence on the chopping block of a menacing global malady! So sad.
 
There is a thin line between bravery and foolishness, he crossed that line too often. From which side of the line, I'll let time be the judge !
That is stupid! Read my signature, deductively implies the same; bravery v/s foolishness is as different as walking with eyes opens v/s closed eyes!
 
Kwa mantiki hiyo basi hata Mbowe anastahili ku Rot in Hell baada ya kumrestisha in peace Makamu wake CHACHA WANGWE
Kama unaziamini hisia zako kuhusu Mbowe na kifo cha Chacha Wangwe, unadhani Serikali inaogopa nini kumfungulia mashtaka Mbowe. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…